What went wrong with Harmonize

What went wrong with Harmonize

Slowly

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
10,589
Reaction score
35,268
Simwelewi huyu mwamba wa Chitoholi, 2 years before he was the fastest rising singer in bongo fleva history , alikuwa fire Sana pale WCB, kichwa chake kilikuwa kimetulia na alitoa mawe Sana , uamuzi wa kutoka WCB ulipokelewa Kwa hsia tofaut na watu , wengi tulimwelewa pia na kumtakia Kila laheri , kweli anapata support ya media kubwa and some how anafanya vizur kwenye digital platforms, hata hvyo nyuma ya pazia mambo hayapo vizur Kwa huyu mwamba wa Chitoholi.

Project zake nyingi zinafeli , uimbaj wake umeyumba Sana , tangu atoke WCB ngoma nazozikubal ni UNO na Fall in love , ..... Vijembe vimekuwa vingi , nafkr yupo under high pressure Sana , washauri pia ni wengi ambao most of them wanamtia hofu, huku anaonekana kuwa na was was kumantain the top ili kushindana na WCB ambao kimsingi wapo well organized

Amekuwa mtu wa kulalamika Sana , alituahidi mgahawa town sjui umeishia wap , alituahidi Tandahimba fm lakn nothing new , utaskia akiwa jukwaani " wanangu niwaambie kitu, mwezi ujao tunawasha redio hapa hapa nyumbani"

Tuliahdiwa tamasha kubwa sanan November 28, Jana kapost insta analalamika tuu , kwamba issue imefeli na ipo postponed sjui mpak lini....
Ibra alikuwa anatosha Sana Kwa mwaka huu , ukurupukaj wa kusign magrunet mengine yanampa pressure tuuu....
Naona asipobadilika atapotea kabisaaa

IMG_20201119_065158.jpg
 
Mkuu ishi maisha yako, wazazi probably wako wanakutegemea.

Wasanii hawana time na wewe, rafiki yao ni yule mwenye pesa na madaraka.

Kwa lugha rahisi watu maarufu wote Tanzania walishajua wabongo hamnazo na hawajielewi ndio maana wano busy na mambo yao kama CCM, endorsements.

Hata ukikutwa umeyawa kikatili Ubungo, they don't care hata atakayekemea
 
The same to you bro...back to the topic , Maisha ni watu na watu ni Sisi
 
Mkuu ishi maisha yako, wazazi probably wako wanakutegemea.

Wasanii hawana time na wewe, rafiki yao ni yule mwenye pesa na madaraka.

Kwa lugha rahisi watu maarufu wote Tanzania walishajua wabongo hamnazo na hawajielewi ndio maana wano busy na mambo yao kama CCM, endorsements.

Hata ukikutwa umeyawa kikatili Ubungo, they don't care hata atakayekemea

Anaweza Kuwa ka post hivi kwa MAPENZI ya mziki ila Pia anatimiza wajibu wake na shughuli zake kama kawaida....

Kila mtu ana hobby yake, anayoyafanya kama burudani baada ya kazi, inawezekana anapenda mziki... ana haki ya ku comment!

Usiwe mjuaji sana, hategemei kitu kutoka kwa wasanii, a napenda burudani! Wewe unapata nini kushabikia Manchester?
 
Mkuu ishi maisha yako, wazazi probably wako wanakutegemea.

Wasanii hawana time na wewe, rafiki yao ni yule mwenye pesa na madaraka.

Kwa lugha rahisi watu maarufu wote Tanzania walishajua wabongo hamnazo na hawajielewi ndio maana wano busy na mambo yao kama CCM, endorsements.

Hata ukikutwa umeyawa kikatili Ubungo, they don't care hata atakayekemea
You are lost! What a silly comment! Unadhani huyo Harmonize anapiga mziki kwaajili yake? Ni kwaajili ya watu! Sasa watu lazima waridhike na anacho fanya vinginevyo wakimtupia virago ndio basi tena umasikini utamnyemelea and most probably he will no longer be a star!
 
Hivyo nilidhani hili nimeliona peke yangu, nilikuwa kwa safari juzi wakawa wana play nyimbo za Harmonize, za toka kipindi anaanza music dabliusibi,

Nyimbo ni nzuri na una feel that taste kabisa, zilipoanza nyimbo zake za hivi karibuni, hapo ndiyo nikaona tofauti kubwa sana ya Harmo wa sasa na wa zamani hata kwenye mashairi tu..!

I asked myself the same question, mshkaji anakwama wapi.?
 
Unaweza ukawa una akili kuliko wote kwenye ofisi yenu, ila wewe huwezi fungua ofisi yako peke ako na ukatoboa.

Wakati mwingine 'vichwa' wanatakiwa wawe chini ya mtu ili wafanye vizuri. Wakisimama wenyewe lazima watazingua.
 
Hili ndio lile tamasha alilo lisema atafanya siku tatu mfululizo uwanja wa Uhuru.?

Hapo awali alisema atakuwa analisha chakula mara kwa mara ,akaanzia Karume baadaye kimya.

Akasema nitafanya show uwanja wa uhuru May 27,kimya ndio akaja na hii ya show siku tatu mfululizo Uhuru mwezi huu wa November.

Bado akanzisha Label na kutambulisha wasanii watatu,hao wote awapromoti bado na yy ajipromoti na kila siku anatoa nyimbo yy.

Wakati anazindua album alisema video zote 18 zipi tayari lkn mpaka sasa kimya wakati mule kwenye album yake ana nyimbo nzuri mfano Malaika na Rhumba baada ya kuzipromoti anatoa nyimbo hizi za mafumbo.

Atulize kichwa apangilie mambo yake mimi na amini yy ni mkali ila tatizo lake anakurupuka,akifanya masihala mziki utamshinda.
 
Harmonize amepoteza focus Sasa hiv amekuwa mtu wa Kiki Sana na kutoa matamko na kupiga vijembe page yake ya Instagram imegeuka Kama zile page za udaku inawezekana bangi zimemuharibu na unywaji pombe.Ujue Wasanii wanatakiwa wajue sio kila msanii unatakiwa uwe na label au lazima ujisimamie shida kubwa ya wasanii wetu wanafungua label kwa ajili ya kushindana na si kwa ajili ya kukuza msanii au kufanya biashara ya label ndio maana wanafeli watu wanataka label zao ziwe Kama WCB lakini wanashindwa kuwa na vision na creativity pamoja na branding strategic so why the end of day wanafeli.
 
Mkuu ishi maisha yako, wazazi probably wako wanakutegemea.

Wasanii hawana time na wewe, rafiki yao ni yule mwenye pesa na madaraka.

Kwa lugha rahisi watu maarufu wote Tanzania walishajua wabongo hamnazo na hawajielewi ndio maana wano busy na mambo yao kama CCM, endorsements.

Hata ukikutwa umeyawa kikatili Ubungo, they don't care hata atakayekemea
Wewe Ni fan wake Nini?Maan sio kwa povu hilo
 
Back
Top Bottom