Yaan yeye hapo alipo anaamin kabisa ni TemboHivi label yake bado ipo au ilishasambaratika mbona wale wahuni wako kimya au ndio kula kulala.
Au pengine anajipigia kwanza promo yeye wengine baadae.
Mistake kubwa kondeboy aliyoifanya huu mwaka nikubeba hao majama yaani amejichimbia shimo.
Yani huyu makonde...yeye wakat anatoa ngoma zake hakuna alieongea...sasa kaona watu wameachia vitu huko anaanza kubwata[emoji3]AmeshapanicView attachment 1635939
Eti tusidanganyane😂😂😂Yani huyu makonde...yeye wakat anatoa ngoma zake hakuna alieongea...sasa kaona watu wameachia vitu huko anaanza kubwata[emoji3]
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Af sasa unajiuliza Harmonize amdharau Naseeb kiaje yani?Simwelewi huyu mwamba wa Chitoholi, 2 years before he was the fastest rising singer in bongo fleva history , alikuwa fire Sana pale WCB, kichwa chake kilikuwa kimetulia na alitoa mawe Sana , uamuzi wa kutoka WCB ulipokelewa Kwa hsia tofaut na watu , wengi tulimwelewa pia na kumtakia Kila laheri , kweli anapata support ya media kubwa and some how anafanya vizur kwenye digital platforms, hata hvyo nyuma ya pazia mambo hayapo vizur Kwa huyu mwamba wa Chitoholi.
Project zake nyingi zinafeli , uimbaj wake umeyumba Sana , tangu atoke WCB ngoma nazozikubal ni UNO na Fall in love , ..... Vijembe vimekuwa vingi , nafkr yupo under high pressure Sana , washauri pia ni wengi ambao most of them wanamtia hofu, huku anaonekana kuwa na was was kumantain the top ili kushindana na WCB ambao kimsingi wapo well organized
Amekuwa mtu wa kulalamika Sana , alituahidi mgahawa town sjui umeishia wap , alituahidi Tandahimba fm lakn nothing new , utaskia akiwa jukwaani " wanangu niwaambie kitu, mwezi ujao tunawasha redio hapa hapa nyumbani"
Tuliahdiwa tamasha kubwa sanan November 28, Jana kapost insta analalamika tuu , kwamba issue imefeli na ipo postponed sjui mpak lini....
Ibra alikuwa anatosha Sana Kwa mwaka huu , ukurupukaj wa kusign magrunet mengine yanampa pressure tuuu....
Naona asipobadilika atapotea kabisaaa
View attachment 1629658
Dharau,majivuno,bifu za kijinga,skendo zisizo na mashiko.
Bifu na domo angetuachia haters na anonymous kama sie yeye angeendelea na muziki mzuri. Sasa mtu hadharani anaonyesha kukosa shukrani kwa aliyemshika mkono mpaka kujulikana.
Habari yake ndo inaelekea mwisho ...Mihemko na kukurupuka ndo kumemfikisha hapaEti tusidanganyane[emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa anamwambia nani sasa..??
Ila aisee huyu jamaa amezingua balaa
Angetulia aimbe ngoma za kueleweka
Ndio Dunia ipo hivyo, sometimes hao wanangaji hata fedha ya mkate hawana.Duh watu wanamnanga sana Harmonize, inabidi ajisahihishe.
Dogo ila japo n mkubwa kwangu, aende taratibu, aliharibu pale dabulisibi ilitakiwa sasa aendane na kiba, sasa na kwenyewe akaharibu kwa kuwachukua wale madogo. Ko fans wa alikiba na wa mondi hawamwelewi dogo. Juz amefika kahama gari imesimam watu wanashangilia mondiii mondiii mondiii🤣🤣🤣🤣,(unaweza kurusha ngumi). Ko kilichobak dogo asimame mwenyewe aache kiki za kuzungumzia wakubwa zake na aache majungu na hayo ndo yanayompoteza kwe ramani.View attachment 1695990
Tumsaidieni kijana wa watu , masaa matano views buku na ushehe tuu, au Mimi ndo sielewi
Ila mashabiki wa WCB huwa naona kama mko desperate sana.Dogo ila japo n mkubwa kwangu, aende taratibu, aliharibu pale dabulisibi ilitakiwa sasa aendane na kiba, sasa na kwenyewe akaharibu kwa kuwachukua wale madogo. Ko fans wa alikiba na wa mondi hawamwelewi dogo. Juz amefika kahama gari imesimam watu wanashangilia mondiii mondiii mondiii🤣🤣🤣🤣,(unaweza kurusha ngumi). Ko kilichobak dogo asimame mwenyewe aache kiki za kuzungumzia wakubwa zake na aache majungu na hayo ndo yanayompoteza kwe ramani.
Mm cpo huko dabulisibi mkuu, mm napend kitu kizr mf wimbo wa wap wa harmo naupenda n balaaIla mashabiki wa WCB huwa naona kama mko desperate sana.
Mmekuwa radicalized kama wafuasi wa Trump. Mnatia sana huruma aisee.
Nakuelewa sana mkuu. Mi.i binafsi nasikiliza sana Muziki wa nje na Bongo fleva ya zamani.Mm cpo huko dabulisibi mkuu, mm napend kitu kizr mf wimbo wa wap wa harmo naupenda n balaa
Mbona hii nyimbo haijatokaView attachment 1695990
Tumsaidieni kijana wa watu , masaa matano views buku na ushehe tuu, au Mimi ndo sielewi