What went wrong with Harmonize

What went wrong with Harmonize

Hivi label yake bado ipo au ilishasambaratika mbona wale wahuni wako kimya au ndio kula kulala.

Au pengine anajipigia kwanza promo yeye wengine baadae.

Mistake kubwa kondeboy aliyoifanya huu mwaka nikubeba hao majama yaani amejichimbia shimo.
Yaan yeye hapo alipo anaamin kabisa ni Tembo
 
Yani huyu makonde...yeye wakat anatoa ngoma zake hakuna alieongea...sasa kaona watu wameachia vitu huko anaanza kubwata[emoji3]

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Eti tusidanganyane😂😂😂

Jamaa anamwambia nani sasa..??
Ila aisee huyu jamaa amezingua balaa
Angetulia aimbe ngoma za kueleweka
 
Simwelewi huyu mwamba wa Chitoholi, 2 years before he was the fastest rising singer in bongo fleva history , alikuwa fire Sana pale WCB, kichwa chake kilikuwa kimetulia na alitoa mawe Sana , uamuzi wa kutoka WCB ulipokelewa Kwa hsia tofaut na watu , wengi tulimwelewa pia na kumtakia Kila laheri , kweli anapata support ya media kubwa and some how anafanya vizur kwenye digital platforms, hata hvyo nyuma ya pazia mambo hayapo vizur Kwa huyu mwamba wa Chitoholi.

Project zake nyingi zinafeli , uimbaj wake umeyumba Sana , tangu atoke WCB ngoma nazozikubal ni UNO na Fall in love , ..... Vijembe vimekuwa vingi , nafkr yupo under high pressure Sana , washauri pia ni wengi ambao most of them wanamtia hofu, huku anaonekana kuwa na was was kumantain the top ili kushindana na WCB ambao kimsingi wapo well organized

Amekuwa mtu wa kulalamika Sana , alituahidi mgahawa town sjui umeishia wap , alituahidi Tandahimba fm lakn nothing new , utaskia akiwa jukwaani " wanangu niwaambie kitu, mwezi ujao tunawasha redio hapa hapa nyumbani"

Tuliahdiwa tamasha kubwa sanan November 28, Jana kapost insta analalamika tuu , kwamba issue imefeli na ipo postponed sjui mpak lini....
Ibra alikuwa anatosha Sana Kwa mwaka huu , ukurupukaj wa kusign magrunet mengine yanampa pressure tuuu....
Naona asipobadilika atapotea kabisaaa

View attachment 1629658
Af sasa unajiuliza Harmonize amdharau Naseeb kiaje yani?

Yani anajilazimishia beef na kujitunisha kiasi mwenzie hata hatumii nguvu.

Angeweza tu kubaki na mziki mzuri na akatengeneza fan base yake bila kusubiri maadui wa Naseeb ndo wawe mashabiki zake.

Dharau,majivuno,bifu za kijinga,skendo zisizo na mashiko.

Bifu na domo angetuachia haters na anonymous kama sie yeye angeendelea na muziki mzuri. Sasa mtu hadharani anaonyesha kukosa shukrani kwa aliyemshika mkono mpaka kujulikana.
 
Yani unamwangalia unamuona tu anahangaika tu kuwa Naseeb
Hiki tu mi ndo kinanibore kuhusu huyu dogo.
Yani ako na ushamba wa akili kama wimbo wake.
Tizama kina Aslay, nani anamkumbuka Naseeb akitizama wimbo wa Aslay?
Tizama Barnaba, nani anamwona diamond akiona wimbo wake?
Tizama Mbosso,Ray Vanny.

Hamna mtu ana Diamond Shadowing kama Harmonize.
Hii anaitengeneza akiamini inamnyanyua, ila unamaliza mara elfu.
 
Mnaosema asitoe nyimbo sasa ivi kisa wenzie wametoa mnataka izo nyimbo atoe lini???
Mi naona michezo ya kuviziana tu hapa ili watu wapate viewers ukizubaa tu kuchelewa kutoa nyimbo raia wanakusahau
 
Eti tusidanganyane[emoji23][emoji23][emoji23]

Jamaa anamwambia nani sasa..??
Ila aisee huyu jamaa amezingua balaa
Angetulia aimbe ngoma za kueleweka
Habari yake ndo inaelekea mwisho ...Mihemko na kukurupuka ndo kumemfikisha hapa
 
Ana lebo yake Na iko poa tu kuliko alivyokuwa wcb ..mlimtabilia kupotea Ila mnazidi kuumbuka kama nyiye sio maMungu
 
Tumepoteza wazee[emoji23][emoji23]
IMG-20201208-WA0005.jpg
 
IMG_20210206_162559.jpg

Tumsaidieni kijana wa watu , masaa matano views buku na ushehe tuu, au Mimi ndo sielewi
 
View attachment 1695990
Tumsaidieni kijana wa watu , masaa matano views buku na ushehe tuu, au Mimi ndo sielewi
Dogo ila japo n mkubwa kwangu, aende taratibu, aliharibu pale dabulisibi ilitakiwa sasa aendane na kiba, sasa na kwenyewe akaharibu kwa kuwachukua wale madogo. Ko fans wa alikiba na wa mondi hawamwelewi dogo. Juz amefika kahama gari imesimam watu wanashangilia mondiii mondiii mondiii🤣🤣🤣🤣,(unaweza kurusha ngumi). Ko kilichobak dogo asimame mwenyewe aache kiki za kuzungumzia wakubwa zake na aache majungu na hayo ndo yanayompoteza kwe ramani.
 
Dogo ila japo n mkubwa kwangu, aende taratibu, aliharibu pale dabulisibi ilitakiwa sasa aendane na kiba, sasa na kwenyewe akaharibu kwa kuwachukua wale madogo. Ko fans wa alikiba na wa mondi hawamwelewi dogo. Juz amefika kahama gari imesimam watu wanashangilia mondiii mondiii mondiii🤣🤣🤣🤣,(unaweza kurusha ngumi). Ko kilichobak dogo asimame mwenyewe aache kiki za kuzungumzia wakubwa zake na aache majungu na hayo ndo yanayompoteza kwe ramani.
Ila mashabiki wa WCB huwa naona kama mko desperate sana.

Mmekuwa radicalized kama wafuasi wa Trump. Mnatia sana huruma aisee.
 
Ila mashabiki wa WCB huwa naona kama mko desperate sana.

Mmekuwa radicalized kama wafuasi wa Trump. Mnatia sana huruma aisee.
Mm cpo huko dabulisibi mkuu, mm napend kitu kizr mf wimbo wa wap wa harmo naupenda n balaa
 
Mm cpo huko dabulisibi mkuu, mm napend kitu kizr mf wimbo wa wap wa harmo naupenda n balaa
Nakuelewa sana mkuu. Mi.i binafsi nasikiliza sana Muziki wa nje na Bongo fleva ya zamani.

Ila unapaswa kujua vita ya Harmonize inatokana na yeye kuonekana kama tishio kwa watu fulani. Ndio maana huwezi kuona hawa watu wanapambana na Mavoko kwasababu hana MAAJABU.

Watu hao hao walikuwa na vita kali sana na Aslay, Darassa na Kiba.

Yaani hutakiwi kuonekana unajituma na unafanya vizuri ( unaanzishiwa vita kali mnooooo ).

Kama ambavyo tulikuwa tunampinga Ruge kujifanya mungu mtu hivyo hivyo tunampinga kibwengo 👿 yeyote anayejiona ni kila kitu.
 
Back
Top Bottom