mhh pole sana i know how it feels but time is the healer of everything, it wont be easy for u to forget him quickly but with time yes u can!!!
pili pray mwambie mungu wako akupe ujasiri kwa kuhandle kuachana na huyo mwanaume..., tatu my dea dont u have gal friends???? it time for to hang out with them tena hata usisubiri wakuambie wat is the plan wewe ndio uwe planner wa kufikiria places where u can go out with ur friends and have fun, eg movies, beach, clubing kama wewe nimtokaji n sooo,the rule is usijifungie ndani peke yako utakufa bure na mwanaume asiyekuwa na muda na wewe,lakini pia wat about ur family??? no sisters or brother to take them out? chukua hata watoto wa kakaako au wa wadada take them to icecream places au sehemu ya wao kucheza ul have fun am telling u!!! another rule give him a space daln he doesnt cal u why should u???? najua inauma coz unatamani but fumba macho, ukisikia unataka kumpigia simu tu tafuta jina la best friend wako kwenye phone book tangia yeye instead, thats why we have friends my gal na marafiki hapa haswa ndo wakati wake wasumbue they will accept u kama wanajua ur situation,... last take time for urself nenda salun tengeneza nywele zako vizuri, do ur nails, face.... u knw.., make urself to the best of ur beauty gal., u will be out of this trust mi muda n prayers will help u most ,tk cr.