nimegundua kuwa nimependa kusiko,yaani nimepotea njia na kuingia choo cha kiume. Pamoja na maumivu yote ninayoyapata i am still in love with that guy and i really hate it. Nifanyeje ili niweze kumtoa kabisa katika moyo na akili yangu?
Naomba mawazo yenu tafadhali
Pole Daughter, I know how you feel naungana na wezangu waliotangulia kukupa ushauri. yaani mpotezee haraka mno. Najaribu kukutumia kitabu nimeattach hapa sijui kama utaweza kukifungua. Just read kuhusu vijimambo vya mwanaume ambaye hakupigii simu unatakiwa kufanyaje. Cheers
Nimegundua kuwa nimependa kusiko,yaani nimepotea njia na kuingia choo cha kiume. Pamoja na maumivu yote ninayoyapata i am still in love with that guy and i really hate it. Nifanyeje ili niweze kumtoa kabisa katika moyo na akili yangu?
Naomba mawazo yenu tafadhali
Pole Daughter, I know how you feel naungana na wezangu waliotangulia kukupa ushauri. yaani mpotezee haraka mno. Najaribu kukutumia kitabu nimeattach hapa sijui kama utaweza kukifungua. Just read kuhusu vijimambo vya mwanaume ambaye hakupigii simu unatakiwa kufanyaje. Cheers
"As long as we believe that someone else has the power to make us happy then we are setting ourselves up to be victims".Nimegundua kuwa nimependa kusiko,yaani nimepotea njia na kuingia choo cha kiume. Pamoja na maumivu yote ninayoyapata i am still in love with that guy and i really hate it. Nifanyeje ili niweze kumtoa kabisa katika moyo na akili yangu?
Naomba mawazo yenu tafadhali