Whatever situation your in! dont give up

Whatever situation your in! dont give up

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Dont give up;
whatever situation your in.whatever challenges are;dont know god knows
just know every situation you pass is the way of god correction

aijalishi unamatatizo kiasi gani nakupa uhakika leooooo leooooooooo read this
matatizo yako yataondoka usikate tamaa ..akuna kuta tamaa mungu yupo anakuona na anasikia kilio chako..yawezekana umehangaika sana na wanga kuoa ama kuolewa..yawezekana kwenue mna spirit ya rejection kila unapopata mwenza wako anafikia stage ya mwisho anachapa lapa...hayo sio mapenzi ya mungu kabisa kabisa

leo nasema leoooooooo siitaji pesa yako naitaji imani yakoooooo naomba kwa ajili ya watu najua wewe mmoja wapo
naomba usiache kusali na wala usikate tamaaaaaaaaa mungu yupo...yeye ni yule jana na leo na hata milele yuko alive

godbless you !!
 
Utafikiri ulijua kwamba kuna watu wako devastated na wanahitaji kutiwa moyo....... thanx sana pdidy, maneno yako yamenipatia nguvu mpya ya kusonga mbele katika maombi, ubarikiwe sana!!
 
Ameeen....is true to God everything is possible,
we just have to keep on praying and to have faith on him
 
Eeh Mungu Baba tutangulie waja wako na utupe nguvu ya maombi tunapokosa matumaini.
Bariki taifa lako,tujaze roho ya upendo na uvumilivu.
Tuokoe kutoka mikono ya muovu na vifungo vyake.
Ahsante Baba kwa pumzi na nguvu ya uhai.
Amina
 
Uclete ujinga we kiumbe,sas hay maombi yako c ungeyapelek ktk jukwaa la dini huko ya nn kuchanganya mambo?au wakat unapost hii sred ulikuw unacnzia au ndo mawazo yaliamia masaburini!
 
uclete ujinga we kiumbe,sas hay maombi yako c ungeyapelek ktk jukwaa la dini huko ya nn kuchanganya mambo?au wakat unapost hii sred ulikuw unacnzia au ndo mawazo yaliamia masaburini!

napita tu!!
 
Back
Top Bottom