Whatever you do dont over do nice friday!!!!

Whatever you do dont over do nice friday!!!!

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Najua ni ijumaa nyingine ya furaha hasa kwa wale wanaopokea mishahara kuanziatar 18 nk na leo wameungana na kwa furaha na wale wanaosubiri mpaka tar 37 ama 40tena wanakunywa na kufurahi kwa pamoja nyama choma ...kwa kweli mungu ni wa rehemaingawa atujui familia wameacha nini maaaaaannnnnn sisemiila naamini walipovishana pete walikuwa wawili...basi sie ndgu zanguni najua watanzaniatuna kaugonjwa cha kukumbuka lakini si mbaya kukumbushana hili ...uwe makini na weekendwhatever you do dont over do italamsiki
 
Asante!
Ila umeuzunguka sana mbuyu kabla ya kuukumbatia.
 
Back
Top Bottom