Wadogo zangu hamjambo, wakubwa wenzangu habari za saa hizi....
Hum ndani kuna avatar za kila namna....
zipo zinazochekesha
zingine zinazotisha balaa
zipo zinazovutia
Na zingine zinasisimua.
Kifupi avatar nyingi zinaibua hisia mbalimbali kwa watazamaji....sasa nikuulize wewe mdau..hiyo avatar yako inabeba ujumbe gani? ni kitu gani kilikuvutia hadi ukaiweka hapo?
Wengine wameweka picha za watu maarufu mf. wanasiasa,wanaharakati,waandishi,wasanii n.k...hebu tuambie ni nini kinakuvutia kwa huyo mtu? Si vibaya ukatuambia ni nani na kazi alizofanya......