What's the story behind your avatar?

What's the story behind your avatar?

Kwa kifupi ni kwamba kwenye list ya rafiki zako hakuna mburulaz..

Haha. Hapana. Inawezekana mi ndio 'mburulaz', so nahitaji watu wa aina yangu. Napenda kujihusisha na watu naofanana nao vitu vingi, ndio maana nazungumza navyozungumza.
 
I love tedy bears alot, na ninao kama wa3 hivi, na moja niipendayo zaidi(cant afford loosing it) nilipewa zawadi na my late boyfriend, ndio hiyo kwenye avatar.
 
I love tedy bears alot, na ninao kama wa3 hivi, na moja niipendayo zaidi(cant afford loosing it) nilipewa zawadi na my late boyfriend, ndio hiyo kwenye avatar.

Oooh atoto ....pole sana aisee
 
Last edited by a moderator:
Kaizer cha pombe njoo baba uelezee avatar yako, na we Eli79 ndio nini kuchagua tolu ukamuweka? Tangu lini wapare warefu?
@ms.lincolin huyo uliyemuweka ndio nani?
 
Last edited by a moderator:
Kaizer cha pombe njoo baba uelezee avatar yako, na we Eli79 ndio nini kuchagua tolu ukamuweka? Tangu lini wapare warefu?
@ms.lincolin huyo uliyemuweka ndio nani?

Hahaa usiniambie wapare wote ni vya ufupi lol
 
Back
Top Bottom