Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,088
- 6,384
I was 16 at that time and one man I had never seen before (who looked like he was in his 50s) sat besides me and
asked me if i wanted to go to his house and watch Tom and Jerry. He was very strange. What's the strangest thing
that's happened to you while on the bus?or anywhere?
kitu strange kimewahi nitokea ni . . .'kulipa nauli' By then nilikuwa bado mimba tu.
Kuna siku late 90's nilikuwa nasafiri kwenda mwanza kwa njia ya kati....nimekaa siti ya watatu na hao wenzangu ni mtu na gf wangu....kufika manyoni porini gari likaharibika so tulilala hapo...usiku jamaa si wakaanza shughulika...kushuka kwenda nje ni giza na hatari...kubaki ndani napo mtihani...usitake kujua nilifanyaje
Poleeee. Usilie, ni maisha tu, it was meant to be. get a comforting :hug:Kitu kibaya kuliko vyote,
ile nimechelewa kupata daladala kule mbeya nikitokea job kukiwa na magari ya milango miwili
nikiwa na ujauzito wa miezi miwili, kufika home nimechelewa kidogo lol, jamaa alishauti ile mbaya
kwa kuwa nilikuwa nimechoka sana na hasira, ule ujauzito kesho yake ukaharibika,
nikiwa kwenye magari hayo hayo natoka uyole kwa dr. sijabaji ili niende meta hosp.
nilikuwa nableed ile mbaya, miguu yote ikalowa blood, lol, ngoja nilie kwanza.
Kama vile nataka kujua ulifanyaje
kitu kibaya kuliko vyote,
ile nimechelewa kupata daladala kule mbeya nikitokea job kukiwa na magari ya milango miwili
nikiwa na ujauzito wa miezi miwili, kufika home nimechelewa kidogo lol, jamaa alishauti ile mbaya
kwa kuwa nilikuwa nimechoka sana na hasira, ule ujauzito kesho yake ukaharibika,
nikiwa kwenye magari hayo hayo natoka uyole kwa dr. Sijabaji ili niende meta hosp.
Nilikuwa nableed ile mbaya, miguu yote ikalowa blood, lol, ngoja nilie kwanza.