Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,088
- 6,384
Kuna siku late 90's nilikuwa nasafiri kwenda mwanza kwa njia ya kati....nimekaa siti ya watatu na hao wenzangu ni mtu na gf wangu....kufika manyoni porini gari likaharibika so tulilala hapo...usiku jamaa si wakaanza shughulika...kushuka kwenda nje ni giza na hatari...kubaki ndani napo mtihani...usitake kujua nilifanyaje