Whats wrong with Kanye?

Kanye hata mie nimeona mitandaoni wakihusisha na illuminati, Mara kardashian curse inampata maana kila mwanaume ajihusishaye na hyo family huharibikiwa, though yanasemwa mengi lakini ukute ni tatizo tu la kawaida la kuugua ka wengine.
 
Nadhani ni stress zimemzidia tu. Kuna taarifa kuwa jamaa kwa namna fulani huwa anajilaumu kwa kifo cha bi mkubwa wake. Sasa jumlisha na stress za madeni(kumbuka aliomba msaada kimtindo kwa Zuckerberg), mkewe kuibiwa, ugomvi wake na paparazzi, Jay-Z kujiweka mbali nae kiaina....Jamaa lazima alemewe.
 
Kanye hata mie nimeona mitandaoni wakihusisha na illuminati, Mara kardashian curse inampata maana kila mwanaume ajihusishaye na hyo family huharibikiwa, though yanasemwa mengi lakini ukute ni tatizo tu la kawaida la kuugua ka wengine.

Yaani nilikuwa si pay attention na habari za ma stars kujiunga na Illuminati
lakini hili limenishangaza sana

Sababuniliwahi kuona clip moja inasema DMX alipokataa kujiunga nao
wakaanza kumuandama nusu wamuue...
sasa nikaona hili la Kanye DMX anamwambia Kanye awe strong...Mungu yupo..

imenishangaza hili
 
Hili la madeni limenishangaza
mkewe utajiri wake ni mara tatu ya madeni anayodaiwa kuwa nayo
 
Kapandisha jini/maruhani huyo watu wanadhani kawa chizi ,toka lini chizi akakataa msosi

Jini la ki illuminati limepanda
 
Freemason is directly involved, when he ignored his show n diss MTV and other radio, Beyonce, Jay z..he said " I know this gonna cost me, my family, my life and my entire carrier but I got this, MTV f*** u, radio f****" then he moved out of platform, then after we started to hear that kanye has undergone mentally disorders... Some American artist make a jokes out of it as they know what is goin on... Yesterday tweet from wizkhalifa is a kinda joke to him " he just need weeds that's it" said wizkhalifa..... Freemason https://jamii.app/JFUserGuide tha hell out of yow, leave kanye alone pal, this is a fucking organization n may God punish you [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
 
intresting...
sijui why huwa siamini hizi habari za freemason..
 
Kanye tokea afiwe na mama yake alipata depression inayomsumbua hadi leo, inasemekana jamaa amekuwa na hasira iliyopitiliza na anaweza kukubadilikia muda wowote bila kujari wewe ni nani, ameshakwenda rehab mara kadhaa na councelling bila mafanikiko!
 
hili laweza kuwa kweli
kwa sababu mama yake alikufa November
inaonekana ikifika November anakumbuka maumivu
 
Hahahaaaaaa WizKhalifa mwendawazimu sana.
 
Hilo nalo laweza kuwa tatizo pia niliona kuwa ana madeni makubwa sana yanamchanganya akili sana kanye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…