Whats wrong with Kanye?

Whats wrong with Kanye?

Kanye anataka kutoka huko Illuminati na wajua alisema Indirect kuwa alimtoa mama yake kafara for his success sasa hii kitu ilimla sana. That's why now he has seen the light anataka toka. But tatizo he knows too much kumuachia hivi hivi aropoke. Kama umemsikia kwenye Ile show anasema kuwa nachowaambia Ni ukweli people mnadanganywa na media zote. Anamnanga na mama Clinton pia ambaye kwenye kampeni ndio alikuwa Mtu wake ( she is Illuminati)
We hujiulizi kashuka tu kwenye show wamemata eti yuko insane wamempeleka rehab kwa lazima. Na huko watambrainwash akirudi atakuwa kama zombie just like walichomfanyia Britney Spears. Na hii ishu ya kufilisika wala hajafilisika. Kasema by telling u this truth naeka hatarini maisha yangu, mafanikio yangu.
DMX kamuelewa coz yalimtokea na ndipo akaokoka but most of the rappers Ni Illuminati that's why wako kimya hawamtetei msela
Lakinu kimsingi tunakubaliana kuwa dmx and kanye mibangi kwa sana ambayo ndio hard fact hayo mambo ya iluminati achana nayo!
 
Watu hili hawataki kuliongelea kabisa wamekazania kuwa jamaa stress sijui kichaa. Hata media hata moja hazisemi kuhusu alichokiongea kabisa as if hakikuwepo na kuongea mambo sensitive kabisa. They own the media so hawawezi RUHUSU hata wadiscuss hiyo kitu
Sasa ujadili alichoongea mwehu ili iwe nini?
 
Lakinu kimsingi tunakubaliana kuwa dmx and kanye mibangi kwa sana ambayo ndio hard fact hayo mambo ya iluminati achana nayo!
Bangi haimfanyi mtu achizike ingekua madawa hapo sawa tena bangi ndo inakufanya uwe more sane na hata kukufungua jicho lako la tatu na ndo maana wakubwa wanaiban na kuipa imge au sifa mbaya. Inawezekana Kanye akawa hayupo kwnye hio freemasonry au illuminati ila tatizo ni lipo kwnye hio industry aliopo kutusua huko sio jambo dogo it doesn't take talent na hardwork tu hapana kuna vitu lazima ufanye. Wanasema pay the devil his dues. Sasa hapo kwnye kumridhisha huyo aliekufanya uwe famous na relevant kwnye uso wa dunia ndipo shida kama hizi sasa huja.
 
Ujue shetani ana miliki kila kitu duniani na hupenda kutumia watu wasanii maarufu Ku change minds za wengi, hata shetani alivo mjaribu Yesu alimwambia akikubali kumsujudia atampa miliki yote ya ulimwengu.
So msanii akijitoa tu mambo yatamnyookea maana kuanzia media zitampa coverage, madeal makubwa ya hela kuwa balozi ndo vinawatajirisha.
Nani kammilikisha?
 
Back
Top Bottom