Whats wrong with Kanye?

Whats wrong with Kanye?

Na wasanii ws Tz wawe makini sana,hasa wale wapenda tuzo na umaarufu wa dunia nzima ,yani mtu kuwa followed na obama anahesabu kama ni mafanikio makubwa sana kwake siku akialikwa huko sidhani kama atachomoa.

"Mwenye kuipenda dunia kumpenda Mungu hakumo ndani mwake"

Itakusaidia nini kuipata dunia nzima huku ukiipoteza nafsi yako.

Na zile t-shirts zao yee.....zinanikera ka nini
Yeah it's not new Ni km Jesus alivyoambiwa na devil kuwa ukiniamini then kila kitu cha dunia hii kitakuwa chako....and Yesu aksema NO!
But wasanii wao wamejibu YES. So wamepewa vyote vya dunia but lost their soul to eternity
 
Hapo hamna chochote zaidi ya illuminants wanataka kumla kwa kukosea masharti. Anayesema hakuna freemason pole sana, ila ukweli wapo na huyo Kanye West ni mwanachama mzuri tu, wewe subiri ifike siku moja kabla ya pasaka, kwenye black mass wanakula huyo.
 
Hivi nini kinaendelea?
ni mental issues au kuna mengine?

nimeona kuna watu wanahusisha na Illuminati....
nimeona clip ya DMX....

Kanye West ana tatizo gani hasa?

Paulo Sergio De Souz Nyani Ngabu
BAK
Wanachokifanya kuanza kukuharibu endapo utaenda tofauti na matakwa yao.
Na inapokua we ni star mkubwa walishakuweka sehem flan ambayo ni ngumu kukumaliza haraka uwa wanaanza taratibu kwa kukufanyia matukio ambayo yatakutoa ulipo ili kukuharibu mfn macko jackson ilikua ngumu kunuondoa fasta wakaanza kumharibu kwa kuharibu muonekano wake mbele ya jamii ndo izo tuhuma za kubaka pia r kelly same way.
DMX alikua ni member ila alipotoka ndo wakaanza kumharibu ndo maana ile mara ya mwisho anapelekwa jela alisema kua alijua io siku angelikua hapo..
Pia uwa wanatoa adhabu ndogo ndogo ilo ujipange mfano mlengwa kufungwa hapa wanakupa vikesi visivyo na maana mfn kukamatwa na silaha na madawa ya kulevya.
Pia kanye jayz hao ni mamember ilo halina ubishi fuatilia perfomance zao na interview zao
 
Freemason is directly involved, when he ignored his show n diss MTV and other radio, Beyonce, Jay z..he said " I know this gonna cost me, my family, my life and my entire carrier but I got this, MTV f*** u, radio f****" then he moved out of platform, then after we started to hear that kanye has undergone mentally disorders... Some American artist make a jokes out of it as they know what is goin on... Yesterday tweet from wizkhalifa is a kinda joke to him " he just need weeds that's it" said wizkhalifa..... Freemason **** tha hell out of yow, leave kanye alone pal, this is a fucking organization n may God punish you [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Facts
 
Hapo hamna chochote zaidi ya illuminants wanataka kumla kwa kukosea masharti. Anayesema hakuna freemason pole sana, ila ukweli wapo na huyo Kanye West ni mwanachama mzuri tu, wewe subiri ifike siku moja kabla ya pasaka, kwenye black mass wanakula huyo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119]
 
"I sold my soul to the devil;that's a crappy deal
Least it came with few toys like a happy meal" eyes closed by kanye west.. so jamaa design kama aliwavunjia heshima kwenye ile show wakati alisha wauzia roho n wao wakampa fame
Hapa ndipo huwa nashindwa kuelewa haya mambo ya illuminati.

Mtu anauzaje roho yake in exchange ya fame?
Na je ina maana muhusika hafanyi kazi kwa bidii ili afanikiwe?
Yani analala tu, illuminati wanamfanyia kila kitu?
Na illuminati wao wanapata faida gani hasa? SMH
 
Ujue shetani ana miliki kila kitu duniani na hupenda kutumia watu wasanii maarufu Ku change minds za wengi, hata shetani alivo mjaribu Yesu alimwambia akikubali kumsujudia atampa miliki yote ya ulimwengu.
So msanii akijitoa tu mambo yatamnyookea maana kuanzia media zitampa coverage, madeal makubwa ya hela kuwa balozi ndo vinawatajirisha.
 
JCole ame-release track ambayo inaonekana anamzungumzia Kanye West

Ujue shetani ana miliki kila kitu duniani na hupenda kutumia watu wasanii maarufu Ku change minds za wengi, hata shetani alivo mjaribu Yesu alimwambia akikubali kumsujudia atampa miliki yote ya ulimwengu.
So msanii akijitoa tu mambo yatamnyookea maana kuanzia media zitampa coverage, madeal makubwa ya hela kuwa balozi ndo vinawatajirisha.
Mimi navyojua mambo kumnyookea mtu siri ni kujituma, kufanya kazi kwa bidii, kuwa creative etc.

Yani mtu ajiunge illuminati tu awe famous na tajiri bila yeye kujituma na kufanya kazi kwa bidii?

Na kama ndo hivyo basi watu wengi wangekuwa matajiri hapa duniani.
 
Unafikiri wasio fanikiwa huwa hawafanyi kazi kwa bidii, punda mwenyewe huenyeka sembuse binadamu. In short duniani MTU akizaliwa huanza kupambana till death sema level kutofautiana, wako wanaofanikiwa ki halali, pia wapo wanaofanikiwa kikona kona, hata kujiunga na magroup ya secret society nayo ni kazi ngumu maana maagano yake si mchezo.
 
Mungu adhiakiwi kamwe,,jamaa naskia anadini yake na Bible yake...so anything can happen
 
Ukitazama historia ya Familia ya Kardashian..ni witch...wameelezwa toka kizazi mpaka kizazi...na wanaume weng wanaamin kwamba ukiwa na mahusiano na mmoja wa Kardashian bas unafanikiwa zaid kimaisha..ila weng waliokuwa nao wanapata sana mafanikio ila mwishowe..huanguka vibaya sana na hata vifo
 
Floyd Mayweather Bado zamu yake!!

Wakina P-Quare waliingizwa mkenge na Akon na Rick Rozee
 
Back
Top Bottom