Emmadogo
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 4,126
- 3,771
Yeah it's not new Ni km Jesus alivyoambiwa na devil kuwa ukiniamini then kila kitu cha dunia hii kitakuwa chako....and Yesu aksema NO!Na wasanii ws Tz wawe makini sana,hasa wale wapenda tuzo na umaarufu wa dunia nzima ,yani mtu kuwa followed na obama anahesabu kama ni mafanikio makubwa sana kwake siku akialikwa huko sidhani kama atachomoa.
"Mwenye kuipenda dunia kumpenda Mungu hakumo ndani mwake"
Itakusaidia nini kuipata dunia nzima huku ukiipoteza nafsi yako.
Na zile t-shirts zao yee.....zinanikera ka nini
But wasanii wao wamejibu YES. So wamepewa vyote vya dunia but lost their soul to eternity