Whats wrong with Kanye?

Nini kimesababisha kanye west kuwa chizi?
 
May God have mercy on us all, for we have seriously lost our way in this country. Please forgive us all Dear Lord and save us from
ourselves, and PLEASE BE WITH
THE FAMILIES OF THOSE WHO WERE KILLED. in Jesus name Amen!
 
Kanye hata mie nimeona mitandaoni wakihusisha na illuminati, Mara kardashian curse inampata maana kila mwanaume ajihusishaye na hyo family huharibikiwa, though yanasemwa mengi lakini ukute ni tatizo tu la kawaida la kuugua ka wengine.

Hiyo Kardashian curse ofcourse hatutaki kuishi kwa kuamini hiyo makitu...ila mhhhhhh, ni coincidence iliyoje?!! Ukiacha tragic death ya mzee Kardashian, unaanza sokombwingo la Bruce Jenner, unafwata maisha ya misukosuko ya Lord Disick, unakuja uarosto wa Rob, Lamar naye kawa teja, na sasa huyu nae kawa guest wa mirembe ya california...
Scot aliogopaga mpaka akatafuta sijui voodoo doctor sijui mganga wa kienyeji yule, akapewa jogoo mwekundu anamuweka pale nyumbani kwake, sijui kama bado anae, hahahahahaha...
 
Kwa hiyo kachizika sasa
 
Kanye tokea afiwe na mama yake alipata depression inayomsumbua hadi leo, inasemekana jamaa amekuwa na hasira iliyopitiliza na anaweza kukubadilikia muda wowote bila kujari wewe ni nani, ameshakwenda rehab mara kadhaa na councelling bila mafanikiko!
...maskini, ukichanganya na lifestyle yao, hayo madeni, mazingira ya ajabu ya hiyo entertainment industry, complications za familia ya mke wake etc etc... lakini yuko jikoni huko, watamtibu... angekuwa huku ndio ingebidi asubiri mpaka deni la msd lilipwe.
 
Kwa hiyo kachizika sasa

hapana bana, amelazwa tu kwa ajili ya psychiatric eveluation nafikiri itakuwa depression au chronic stress kwa ajili ya hiyo misukosuko ya maisha waliyoitaja wadau hapo juu...
 
hapana bana, amelazwa tu kwa ajili ya psychiatric eveluation nafikiri itakuwa depression au chronic stress kwa ajili ya hiyo misukosuko ya maisha waliyoitaja wadau hapo juu...
Sasa kumbe sisi watz ni vichaa sasa maana misukosuko tunayoputia ni shiida
 
Haha duuu...wiz anapenda weeed balaa..
 
Jamaa ni chizi kitambo tu, hakuna Freemason wala nini.
 
Hivi nini kinaendelea?
ni mental issues au kuna mengine?

nimeona kuna watu wanahusisha na Illuminati....
nimeona clip ya DMX....

Kanye West ana tatizo gani hasa?

Paulo Sergio De Souz Nyani Ngabu
BAK
"I know this gonna cost me my family,my life and my entire career, ."

Ukwel ni kwamba kanye amepitia mengi sana watu wanaona juu juu, mojawapo kubwa ni la loss ya mama yake, pia usikilize wimbo vizur wa through the wire

jamaa amepitia magumu mengi... na kuhusu kuhusisha na freemason ama iluminati, sio strong point sababu he is already in there, halaf watu wanaishia kusema tu freemason ama iluminati kuna kitu huwa wanafanya na wasanii weng wakubwa wa marekani wamefanya, nikipata wasaa ntawambia the reality, na baadhi wamewahi kukiri hadharani..lakin clip za video zao hua hazionyeshwi sana labda utafute mwenyewe ...unajua mtu kama brad pitt hua anafanya nini kila mwezi ili azidi kufanikiwa katika filamu? unajua why mtoto wa usher alikufa? Unajua why michael alienda solo kutoka kundi la jackson five,unajua alijiunga na nini na kivipi ilikuaje? unajua stor ya lil wayne vizuri? Why saiv anapata kifafa na ansema antaka kuacha muziki,
unajua beyonce ndo ameingia rasmi humo mnapopaita iluminati japo sio iluminati ni namna nyingine japo pia na yeye ameanz kufundishwa umasonia awe kama mumewe jay z ambae ana rank/level kubwa katika vyeo vya umasonia...mnaijua stor ya dmx japo kuna mtu kadokeza kidogo laki hio ni kidogo....anyway ntakuja kuwapa haya mambo mjue ukweli.
 
Sasa kumbe sisi watz ni vichaa sasa maana misukosuko tunayoputia ni shiida

Yep, misukosuko inaweza kukufanya ukawa mental case... ingawa chronic stress sio ukichaa wa kuokota makopo... ila unaweza kuwa uko-right unachokisema... kuna research ilikuwa inaongelewa hapa juzi juzi inaku-support kwa hilo, apparently 1 in 4 ya wanzania ni waruwaru... 🙁
 
Mimi wa kwanza nasubiri, utakapoileta usisahau kunitag mkuu
 


Acha kuaminishwa theory mkuu. Tatizo mnapoteza muda mwingi kwenye social media
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…