Huyu mheshimiwa amekuwa kama vile Lowassa kila kukicha yuko safari hivi saa ngapi anakaa ofisni na kufanya paperwork?
Halafu I am still tryying to figure him out..lakini sijui but something is not right with him and how he works
kama huamini tembelea website ya ofisi yake...hakuna kitu zaidi ya ma speech kibao na hakuna policy paper yoyote mle je hii ni reflection ya Pinda au vipi?
Halafu mbaa zaidi huyu anaongoza serikali inayotia fora kwa ku flip flop...mara misamaha ya mashira ya kidini imefutwa, next minute anasema imerudishwa, one minute sijui mahakama ya kadhi next minute anakuwa bubu
GT nilidhani wewe mtu wa leo kumbe unafanana na Kingunge!! Rais na Waziri mkuu wanapokuwa safarini hasa mikoani haiwazuii kufanya maamuzi ya ofisi zao; kwani kila siku wanapata briefing ya mambo yanavyoendelea na wao hutoa maelekezo/maamuzi. Juu ya hayo, wanapokuwa mikoani ofisi zote za wakuu wa wilaya na mikoa hugeuka kuwa zao; ndio maana mara nyingi wakuu wa wilaya/mikoa inawabidi hata kuhama nyumba zao kuwapisha wakulu wao!!
kama serikali sijui vipi nina wasi wasi hata yule mwenye degree feki (waziri wa Fedha..bwana MKULLO) hamheshimu kabisa huyu Pinda..haiwezekani waziri akatoa tamko zito bila kutaka ushauri ofisi ya Pinda
something is not right about the man....Lowassa alikuwa na mapungufu yake lakini leo tunaona shule kila kata japo zngine hazina walimu lakini shule zipo.Pinda ukitaka nikuone uko serious na hii issue ako ya Kilimo, then waambie hao jamaa waweke strategy za kilimo cha kisasa then i might think you are trying to be serious