donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
- Thread starter
-
- #361
Hii nimeisahau sijui kwenye muvi gani'The only easy day was yesterday'
HurricaneDenzel Washington hajawahikosea movie zake
1. Book of Eli
2. Man on fire
3. The equalizer
4. Training Day
5. Magnificent 7
6. Deja Vu
7. American gangster
8. The Flight
9. Safe house
Tafta hizo movie mkuu hautajutia mdaa wala MBs zako.
Hahaha Gru anakuwaga "cold" sana huyu jamaa.Neighbour: I am sorry, you know dogs, they go everywhere they want
Gru: Unless they are dead, ahahahahaha
Nimedownload jana wind river ngoja nikaichek leo
Jamaa namkubali sanaHahaha Gru anakuwaga "cold" sana huyu jamaa.
Taja na jina la movieSalaam wakuu,
Habari za furahi day? Okay, mimi kama mpenzi wa movie hua napenda kuhakikisha hakuna kinachonipita hata sentensi moja na ndio maana hua napenda kuangalia movies zenye subs. Hua unakuta kwenye movie kuna punchline matata ambayo inakupa msisimko wa kutamani kujua actions zinazofata. Personally ziko quotes nyingi tu, ila hii" I don't think you understand, these boys killed my dog." Nilijua kinachoenda kutokea itakua ni nyo.ko... hebu tupia na zako
Nimetaja tayarTaja na jina la movie