Kidogo niiandike hii
Yule Jack alinifurahisha sana natamani mwanaume wa vile yaan alivyokua akimtibu yule marshal alvyozinduka akamuuliza Jack yopo wapi kate "she is dangerous" akamuonyesha ile karatasi ina picha ya kate kuonyesha kuwa ni muhalifu ,jack akabaki mdomo wazi
Kilichonishangaza yule hurley alivyokuja kujua katr ni mhalifu akawa anamuuliza jack ,Jack anamuambia hayanihusu,na sio matatizo yake,na hakumweleza kabisa kate na pamoja na ukaribu wao vile,,,kate akawa anajistukia akataka siku moja amuambie yaliyotokea jack akakataa akamuambia haina haja tunaanza maisha mapyaa hapa island kila kitu kipyaa aisee ingekuwa mwanaume wa kibongo hehehehe kate angekoma (Jack ana kifua na ni mwanaume haswa na yuko positive sana)
Niliishia pale yule dogo walt kakamatwa na wale jamaa sijui ni kina nanii
Na najiuliza kwanini hawatafutwii ina maana wale wote kwenye ndege si waliwapa taarifa ndugu zao kwanin serikali haiwatafuti