Time Traveller
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 314
- 303
Mkuu wale masniper wa ile movie ni hatar picha ya 2007 lkn unaeza hisi imechezwa juzi tuNaipenda sn yule sniper ni hatari
Sent from my iPhone using JamiiForums
Movie gani hii mze baba.."NO MERCY FOR COWARD" -THE ENEMY AT THE GATE
majamaa wanalazimishwa vitani wakubwa wao wanawaambia wamfuate adui hali ya kuwa adui anawazid kila kitu so adui akawa anawaua na wakirud kwa wakubwa wao nyuma pia wanauliwa huku wakiwaambia"no mercy for coward"
Mkuu naomba jina la hii movie."i cant promise you... That i ll bring u all home alive, but this i swear; i ll b the first to step on the battle ground and i ll be the last to step off and i ll leave no one behind, dead or alive we will all go home together"
We were soldiers