kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,192
- 5,685
- Thread starter
- #21
Hapo hivyo vyote vinachukua saa moja na nusu tu. Ukiamka saa kumi na moja kamili basi saa moja asbh unakua ushamaliza kila kitu. Kawaida reporting time ya maofisini ni saa mbili na nusu asbh, una saa zima lna nusu a kutafuta usafiri.Baada ya kuamka asubuhi ni sala kwanza, kutandika kitanda kisha kupiga bafu na kusepa, maandalizi ya mavazi na vitu vingine vya kazi huwa navifanya kabla la kulala ila kupunguza vipengele asubuhi
Sijajua unaishi wapi mkuu ila itakuwa ama unaamka asubuhi sana, huishi mbali na eneo lako la kazi/umejiajiri ili kuweza kufanya vyote hivyo asubuhi
Si wengine tunaskip vipengele vingi hivyo asubuhi maana usafiri wenyewe ni mtihani, hivyo lazima ukapambanie usafiri vinginevyo kuchelewa job itakuwa ni daily
Kama ngumu anza na dkk 30 za tizi kisha cold shower, utakuja kuona ulichelewa sana kuanza