What's your morning ritual? / Nini ni ibada yako ya asubuhi?

Hapo hivyo vyote vinachukua saa moja na nusu tu. Ukiamka saa kumi na moja kamili basi saa moja asbh unakua ushamaliza kila kitu. Kawaida reporting time ya maofisini ni saa mbili na nusu asbh, una saa zima lna nusu a kutafuta usafiri.

Kama ngumu anza na dkk 30 za tizi kisha cold shower, utakuja kuona ulichelewa sana kuanza
 
Hio yote nakubaliana nawe mleta mada.
Ila ikumbukwe duniani hapa kila mtu, kila jamii, kila imani ina mifumo ya jinsi ya kuishi na kwa mifumo hio wanaishi na wanapata faida ya kuishi.

Hayo uliyo yaelezea hapa ni mfumo wako na wa jamii yako au wale wote wanao ona ni vyema kuishi kwa namna hio.

Kila kiumbe hapa duniani kina fanya juhudi kutafuta namna bora ya kuishi kulingana na mazinga yaliyopo wakati huo.
 
Hii nzuri, nimeokota jambo hapa,
 
Hujasema faida zake lakini
 
Maelezo mazuri sana.

Na ndo maana topic ya uzi ni "What is your morning ritual?" Na kisha nikaweka ritual yangu.
 
Kwangu saa ya kuongea na Mungu ni msalaba wa aliosulubiwa Yesu 24 hour's

Saa yeyoye iwe ya mkononi chora msalaba mshale utakuwa eneo la 12,3,6,9 kwenye saa ya mkononi hivyo alarm na set masaa hayo ikilia lazima niiongee na Mungu mambo yangu binafsi mimi na yeye

Hiyo ndio mida yqngu ya kuongea na Mungu iwe mchana au usiku mambo yangu binafsi hata niwe chooni alarm nimeweka hiyo mida italia nitaongea na muumba wangu kibinafsi nikiwa nimechemka kwa lolote nikimuudhi nitamuomba anisamehe bure kiumbe wake.Lazima nisali iwe mchana au usiku wa manane Alarm itaniamusha niongee na Mungu muumbaji wangu hata dakika moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…