Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama samia Kwani kafanya ninisio yeye kichekesho nafasi aliyopo ndoshid a kwani hukumbuki mama yetu Samia au mpango unamuonaje
Ni ubaguzi tu sio kitu kingine, wazungu wanatabia ya kutengenezea mazingira ujione hufai lakin ukweli ni kwamba ameshaweka historiaKamala Harris tangia awe Vice President amegeuka kuwa kichekesho Kwa nini ??View attachment 2148070View attachment 2148076
Ni ubaguzi tu sio kitu kingine, wazungu wanatabia ya kutengenezea mazingira ujione hufai lakin ukweli ni kwamba ameshaweka historia
Kuwa vice president wa kwanza wa kike na biracial ni kitu ambacho wako wazungu hawajafurahishwa nacho Ila ndo ukweli unawauma akicheka Kosa, hakinuna kosa hakuna
Sasa Mbona walio acha kazi na wanaolalamika ni weusi .wanasema Kamala anawachukia weusiNi ubaguzi tu sio kitu kingine, wazungu wanatabia ya kutengenezea mazingira ujione hufai lakin ukweli ni kwamba ameshaweka historia
Kuwa vice president wa kwanza wa kike na biracial ni kitu ambacho wako wazungu hawajafurahishwa nacho Ila ndo ukweli unawauma akicheka Kosa, hakinuna kosa hakuna jema
Alienda Poland akaanza watu wanalia wanasikitika yeye akawa anachecheka tuu wakimuuliza maswali hana jibuKwani kamara anasema nini kuhusu issue ya Ukraine!?
Hao ni wachache sanaaa majority ya African Americans wanamsupport joe Biden means Wana mssuport vice presidentSasa Mbona walio acha kazi na wanaolalamika ni weusi .wanasema Kamala anawachukia weusi View attachment 2148130View attachment 2148145
Poland wanalia kwa sababu ipiAlienda Poland akaanza watu wanalia wanasikitika yeye akawa anachecheka tuu wakimuuliza maswali hana jibu
Huyo mama ni mzuri jaman
RefugeesPoland wanalia kwa sababu ipi
To hell, mbona wao wanasupport ushoga? Kwa hyo kutembea na mme wa mtu ndo wamsakame namna hiyo?
Alipomaliza college tu aka date governor brown wa California governor akamteua mistress Kamala kuwa attorney general ( no experience wala nini ) .My point is hiki cheo ni kikubwa sana compare na elimu yake na experience.Unaambiwa hawezi hata ku memorize kitu chochoteTo hell, mbona wao wanasupport ushoga? Kwa hyo kutembea na mme wa mtu ndo wamsakame namna hiyo?
Ina maana wazee wa kipenyo huko usa nao sawa tu na bongo?Alipomaliza college tu aka date governor brown wa California governor akamteua mistress Kamala kuwa attorney general ( no experience wala nini ) .My point is hiki cheo ni kikubwa sana compare na elimu yake na experience.Unaambiwa hawezi hata ku memorize kitu chochote
Ina maana wazee wa kipenyo huko usa nao sawa tu na bongo?