What’s your take on Gays and Lesbians in Our Society?

OwadeKuya

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2026
Posts
535
Reaction score
312
Kenya bado kuna mjadala mkubwa kuhusu gays na lesbians. Watu wengine wanasema love is love na kila mtu ana haki ya kuishi maisha yake bila ubaguzi, while others believe it goes against culture, religion, na maadili ya jamii.

Swali ni: What do ordinary wananchi think?

Je, tunapaswa kuwa more accepting, ama jamii ishikilie traditional values?

Tuambie maoni yako:

Do you think society should accept gays and lesbians, ama bado ni jambo ambalo halikubaliki kwa jamii yetu?
 
Tamaduni za kiafrika ni tofauti na tamaduni za kigeni, sisi watu wa Africa tulishajengwa vizazi na vizazi kwamba mwanaume anamuoa mwanamke sio mwanaume na mwanaume wanaoana au mwanamke na mwanamke vivyo hivyo, kwa hio tamaduni ya mwafrika sio hio ya ushoga na usagaji, tamaduni ya mwafrika ni ndoa ya mume na mke sio kinyume chake na imekua hivyo miaka na miaka.

Najua wapo baadhi watasema sipo sahihi katika hili sabaabu wana freewill uhuru wa kuchagua waweje wafanye nini na nini as long as mwili ni wa kwao sio wa kwangu, na mengine mengi km hayo na kadhalika ila ni kwamba tamaduni zetu hazijafika huko na haziruhusu masuala km hayo ila zimeharibiwa na tamaduni za nje ninamaanisha tamaduni za kigeni, kwa hio hizo mambo afrika sio tamaduni zetu.
 
Kenya bado kuna mjadala mkubwa kuhusu gays na lesbians. Watu wengine wanasema love is love na kila mtu ana haki ya kuishi maisha yake bila ubaguzi, while others believe it goes against culture, religion, na maadili ya jamii.
Swali ni: What do ordinary wananchi think?
Je, tunapaswa kuwa more accepting, ama jamii ishikilie traditional values?
Tuambie maoni yako:
Do you think society should accept gays and lesbians, ama bado ni jambo ambalo halikubaliki kwa jamii yetu?
Hakuna haki kwa watu ambao ni kama wafu ,kama mungu atakuja kuhukumu ulimwengu kwa dhambi zetu wewe ambae ni gay ama lesbian tukuache kama nani na kwa mamlaka ya nani
 
vuta picha ni mwanao wa kiume anakula au analiwa ka anus😭😭 ni mbaya bwana bora isiruhusiwe sisy
Sasa mwanangu akifanya na nisijue unadhani ntapata hiyo huzuni????
HAya basi mwanangu anajikausha na kufanya huku kaoa na ana watoto??
Hili ni suala binafsi mno hata Mimi kama mzazi siwezi kujadili,,,,.

Inshu ninayoona hapa tuwape malezi watoto wa kiume aende kiume na wa kike aende kike. Huku tukiwaelemisha hasa hii elimu ya kimaumbile na mabadiliko ya kimwili hata huo u teenager ukipamba moto ajue mi wa kiume nipeleke moto na wa kike apelekewe moto.
Mi nachojua mtoto ukimlea ipasavyo unaweza kuokoa. Lakini unalea huku ukijiuliza kuhusu jamii!!?? Jamii inaongea na kukuachia msalaba wako uubebe.
 
malezi ndo kitu cha msingi na bora zaidi,,, mzazi anatakiwa amlee mtoto kwenye maadili ikitokea kabadilikia ukubwani wakati huku nyuma wew ulijitahidi hapo itabaki ni juu yake sasa,,,

ila Mungu atuepushie vizazi vyetu maana vita ni kali kuna watu wamekuja duniani kuharibu maisha ya mwengine
 
👆
Malezi ndio kila kitu na hii ni lazima ianzie utoto stage by stage..

Mungu hawezi kuepusha kitu,,, wazazi tusimamie uzazi wetu na malezi yenye maadili haijalishi technologia na utandawazi. Tunaweza kwenda navyo vyote na kuokoa kizazi chetu
 
If truly lesbians are attracted to women, why one of them must act as a man?

If truly gays are attracted to men, why one of them must acf as a woman?

Why do lesbians use dildos shaped like man's penis, if they are not sexually attracted by men's dick?

Cc cocastic
 
Malezi ndio kila kitu na hii ni lazima ianzie utoto stage by stage..

Mungu hawezi kuepusha kitu,,, wazazi tusimamie uzazi wetu na malezi yenye maadili haijalishi technologia na utandawazi. Tunaweza kwenda navyo vyote na kuokoa kizazi chetu
noted✍
 
Hatari zaidi ni pale ambapo hamna mtu anajali! Dini nazo zimefeli kabisa kuinasua jamii kwenye hili janga. Wanaowaingilia mashoga hawana lawama lawana wanapewa wanoingiliwa. Hatari ni kubwa sana.
 
Kenya bado kuna mjadala mkubwa kuhusu gays na lesbians. Watu wengine wanasema love is love na kila mtu ana haki ya kuishi maisha yake bila ubaguzi, while others believe it goes against culture, religion, na maadili ya jamii.

Swali ni: What do ordinary wananchi think?

Je, tunapaswa kuwa more accepting, ama jamii ishikilie traditional values?

Tuambie maoni yako:

Do you think society should accept gays and lesbians, ama bado ni jambo ambalo halikubaliki kwa jamii yetu?
Kuwakataa kwa sababu ya culture, religion na maadili ya jamii zote ni logical fallacies hizo.

Argument from tradition, argument from authority.

Kitu kikubwa ni kuheshimu haki zao za kujiamulia mambo yao wenyewe katika maisha yao.

Mradi ni watu wazima, hawajalazimishwa na mtu, hawalazimishi mtu, waachiwe Wajipangie wenyewe, wajijue wenyewe.

This is a basic human right to self determination.

cocastic
 
Hakuna tamaduni za nje wala ndani ya africa iliyokua ikipendelea upuuzi huo,
Atakae bainika na asokomezwe kaa la moto sehemu hizo,ni upuuzi kabisa
 
Sasa mwanangu akifanya na nisijue unadhani ntapata hiyo huzuni????
HAya basi mwanangu anajikausha na kufanya huku kaoa na ana watoto??
Hili ni suala binafsi mno hata Mimi kama mzazi siwezi kujadili,,,,.

Inshu ninayoona hapa tuwape malezi watoto wa kiume aende kiume na wa kike aende kike. Huku tukiwaelemisha hasa hii elimu ya kimaumbile na mabadiliko ya kimwili hata huo u teenager ukipamba moto ajue mi wa kiume nipeleke moto na wa kike apelekewe moto.
Mi nachojua mtoto ukimlea ipasavyo unaweza kuokoa. Lakini unalea huku ukijiuliza kuhusu jamii!!?? Jamii inaongea na kukuachia msalaba wako uubebe.
👏
 
Back
Top Bottom