Tamaduni za kiafrika ni tofauti na tamaduni za kigeni, sisi watu wa Africa tulishajengwa vizazi na vizazi kwamba mwanaume anamuoa mwanamke sio mwanaume na mwanaume wanaoana au mwanamke na mwanamke vivyo hivyo, kwa hio tamaduni ya mwafrika sio hio ya ushoga na usagaji, tamaduni ya mwafrika ni ndoa ya mume na mke sio kinyume chake na imekua hivyo miaka na miaka.Do you think society should accept gays and lesbians, ama bado ni jambo ambalo halikubaliki kwa jamii yetu?
Hakuna haki kwa watu ambao ni kama wafu ,kama mungu atakuja kuhukumu ulimwengu kwa dhambi zetu wewe ambae ni gay ama lesbian tukuache kama nani na kwa mamlaka ya naniKenya bado kuna mjadala mkubwa kuhusu gays na lesbians. Watu wengine wanasema love is love na kila mtu ana haki ya kuishi maisha yake bila ubaguzi, while others believe it goes against culture, religion, na maadili ya jamii.
Swali ni: What do ordinary wananchi think?
Je, tunapaswa kuwa more accepting, ama jamii ishikilie traditional values?
Tuambie maoni yako:
Do you think society should accept gays and lesbians, ama bado ni jambo ambalo halikubaliki kwa jamii yetu?
vuta picha ni mwanao wa kiume anakula au analiwa ka anus😭😭 ni mbaya bwana bora isiruhusiwe sisyMwisho wa siku ni maamuzi binafsi na kila mmoja ashinde mechi zake anazocheza.
Sasa mwanangu akifanya na nisijue unadhani ntapata hiyo huzuni????vuta picha ni mwanao wa kiume anakula au analiwa ka anus😭😭 ni mbaya bwana bora isiruhusiwe sisy
malezi ndo kitu cha msingi na bora zaidi,,, mzazi anatakiwa amlee mtoto kwenye maadili ikitokea kabadilikia ukubwani wakati huku nyuma wew ulijitahidi hapo itabaki ni juu yake sasa,,,Sasa mwanangu akifanya na nisijue unadhani ntapata hiyo huzuni????
HAya basi mwanangu anajikausha na kufanya huku kaoa na ana watoto??
Hili ni suala binafsi mno hata Mimi kama mzazi siwezi kujadili,,,,.
Inshu ninayoona hapa tuwape malezi watoto wa kiume aende kiume na wa kike aende kike. Huku tukiwaelemisha hasa hii elimu ya kimaumbile na mabadiliko ya kimwili hata huo u teenager ukipamba moto ajue mi wa kiume nipeleke moto na wa kike apelekewe moto.
Mi nachojua mtoto ukimlea ipasavyo unaweza kuokoa. Lakini unalea huku ukijiuliza kuhusu jamii!!?? Jamii inaongea na kukuachia msalaba wako uubebe.
Malezi ndio kila kitu na hii ni lazima ianzie utoto stage by stage..malezi ndo kitu cha msingi na bora zaidi,,, mzazi anatakiwa amlee mtoto kwenye maadili ikitokea kabadilikia ukubwani wakati huku nyuma wew ulijitahidi hapo itabaki ni juu yake sasa,,,
👆
Mungu hawezi kuepusha kitu,,, wazazi tusimamie uzazi wetu na malezi yenye maadili haijalishi technologia na utandawazi. Tunaweza kwenda navyo vyote na kuokoa kizazi chetuila Mungu atuepushie vizazi vyetu maana vita ni kali kuna watu wamekuja duniani kuharibu maisha ya mwengine
noted✍Malezi ndio kila kitu na hii ni lazima ianzie utoto stage by stage..
Mungu hawezi kuepusha kitu,,, wazazi tusimamie uzazi wetu na malezi yenye maadili haijalishi technologia na utandawazi. Tunaweza kwenda navyo vyote na kuokoa kizazi chetu
Kuwakataa kwa sababu ya culture, religion na maadili ya jamii zote ni logical fallacies hizo.Kenya bado kuna mjadala mkubwa kuhusu gays na lesbians. Watu wengine wanasema love is love na kila mtu ana haki ya kuishi maisha yake bila ubaguzi, while others believe it goes against culture, religion, na maadili ya jamii.
Swali ni: What do ordinary wananchi think?
Je, tunapaswa kuwa more accepting, ama jamii ishikilie traditional values?
Tuambie maoni yako:
Do you think society should accept gays and lesbians, ama bado ni jambo ambalo halikubaliki kwa jamii yetu?
👏Sasa mwanangu akifanya na nisijue unadhani ntapata hiyo huzuni????