secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
If truly lesbians are attracted to women, why one of them must act as a man?
If truly gays are attracted to men, why one of them must acf as a woman?
Why do lesbians use dildos shaped like man's penis, if they are not sexually attracted by men's dick?
Cc cocastic
Kuwakataa kwa sababu ya culture, religion na maadili ya jamii zote ni logical fallacies hizo.
Argument from tradition, argument from authority.
Kitu kikubwa ni kuheshimu haki zao za kujiamulia mambo yao wenyewe katika maisha yao.
Mradi ni watu wazima, hawajalazimishwa na mtu, hawalazimishi mtu, waachiwe Wajipangie wenyewe, wajijue wenyewe.
This is a basic human right to self determination.
cocastic
Cc cocastic
😂😂😂 unachekeshaa wee!! KhaaahHakuna haki kwa watu ambao ni kama wafu ,kama mungu atakuja kuhukumu ulimwengu kwa dhambi zetu wewe ambae ni gay ama lesbian tukuache kama nani na kwa mamlaka ya nani
Bora useme wewee.Hatari zaidi ni pale ambapo hamna mtu anajali! Dini nazo zimefeli kabisa kuinasua jamii kwenye hili janga. Wanaowaingilia mashoga hawana lawama lawana wanapewa wanoingiliwa. Hatari ni kubwa sana.
Uzi uishie hapa tafadhari.Kuwakataa kwa sababu ya culture, religion na maadili ya jamii zote ni logical fallacies hizo.