Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,649
- 13,607
- Thread starter
- #221
Good for you.Never. Not even doubting
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Good for you.Never. Not even doubting
Hakuna shida nilitaka nimweleweshe uzuri wa kiingereza kuliko kupoteza muda na kijerumaniPale kwenye do nilikuwa naandika you.
You don't nasio do don't.
Uone uzuri wa kiingish lakini ingalikuwa kijerumani, hapo mtihani maana huwezi kuwa na verb mbili katika sentenso moja Paula Paul aidha usipokuwa na mazoea ya kuongea kijerumani kinajiondokea chenyewe taratiiibu.
Karibu sana ujerumaniHiyo massage uliyoiquote siyo ya kwangu Jinjo. Na pia hapo haihitaji hata elimu kujua kilichotokea hapo ni TYPO.
Jinjo mimi nimekuambia miongoni mwa lugha ninazojifunza kwa sasa English haipo. Habari za kuniambia nimepata danga la kizungu hizo ni ngeni kwangu.
Ninaweza kuongea kingereza popote duniani na nikaeleweka vizuri sana sina haja ya kujifunza.
Na kuhusu kuwa na mazoea ya kuongea naweza kukuambia lugha kuu ninayoitumia kwenye kuongea nchi yoyote nitakayokuwepo ni kingereza. Hivo siwezi sahau kuongea kingereza. Naweza nisiwe kama Native speakers lakini angalao naongea nao na tunaelewana sana.
Elewa tuu kwa sasa najifunza German na sababu kuu ni nitakuwa Germany siku si nyingi.
Kupoteza muda? Jinjo unakosea sana unafolazimisha mawazo yako yawe ndio FACT. Wewe haujui kwanini ni muhimu kwangu kuijua hiyo lugha.Hakuna shida nilitaka nimweleweshe uzuri wa kiingereza kuliko kupoteza muda na kijerumani
Asante. Hapo Germany unatumia lugha gani kuwasiliana?Karibu sana ujerumani
Trust you??? OMG[emoji4][emoji4] please find a way to trust me because I was telling the truth. The world was "going"dark.
Hata sikijui, labda nimsimulie cute b then yeye aandike.
[emoji111][emoji111]Hakuna shida nilitaka nimweleweshe uzuri wa kiingereza kuliko kupoteza muda na kijerumani
I can't really remember lolRelief have you ever told a lie and what lie are you living.
I haven't seen your story.
Unaona mambo haya? [emoji23][emoji23][emoji23]Ningejua kingreza ningeandika uongo wangu, nishadanganya sanaa haswa kwa haya mambo yanayohusu hisia. Eeeh mwenye enzi nisamehe[emoji134][emoji134][emoji134]
I believe you 200%This is so sweet. About..... That it wasn't a lie.
Weeeeh!! Hiyo inatafsirigi kigiriki[emoji134][emoji134][emoji134]Google translate ipo dear ngoja ni sheee link.
Ngoja nikutumie link[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwambie cute b aigee hapa. Anajua ninachosema😂 😂
Mtasha bwana!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unaona mambo haya? [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1246346
As mentioned earlier, I thought It was cool to be an adult and people especially my real age group would respect me.
About body count.... I didn't want to sound cool and all the goodness. That's all.
Ukiwa ujerumani lazima uzungumze kijerumaniAsante. Hapo Germany unatumia lugha gani kuwasiliana?
BlessingHappy that now you know DiasporaUSA.
SureGood for you.