Whatsapp group wanayanga wakimtishia maisha Wallace Karia wa TFF wadai atahamia Lugalo jeshini kwa usalama wake

Whatsapp group wanayanga wakimtishia maisha Wallace Karia wa TFF wadai atahamia Lugalo jeshini kwa usalama wake

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Naam Bugga Buggati limefanikisha kuhamishia matatizo yake kwenye taasisi, baada ya Barbara kukataa ujinga wake huo haswa pale aliposema mashabiki wa yanga wasiingie kwenye mechi za kimataifa za simba na uongozi wa Barbara ukatoa press release kusikitishwa na matamko yake hayo na ya kuyakana

Kwa sasa Bugatti PWAGU limepata PWAGUZI wenzake huko utopoloni ni mwendo wa PIPA NA MFUNIKO yaani mserereko tu,matatizo ya sope takadini yanabebebwa na kukumbatiwa kwa ustadi mkubwa na taasisi hiyo

Angalia mwenyewe kwenye hii whatsapp group wanavyo discuss Karia na kumdhuru labda jeshi limfungie lugalo jeshin kwa usalama wake.
 
Ujinga tu, kwani Manara asingeletwa hapo TFF wangewaita Kamati ya maadili?

Mimi mshabiki wa Yanga na nlikerwa na Uongozi wa Yanga kumleta mtu anaetumikia adhabu hata kama baadhi wanasema hana nakala ya hukumu.

Ni ujinga tunauendekeza na kila mwana Yanga asiwe mjinga kushabikia upuuzi.

Uongozi ndo wanalea haya matatizo madogo madogo, badala ya kujiandaa uwanjani na wiki hii ratiba ya kimataifa itatoka, sisi tupo bize na ujinga wa Manara.

Ifike mahala tukubali madhaifu yetu na kuyarekebisha. Kwenye hili la Manara mimi sio mashabiki 'oya oya' , bakini na hao wasap makao makuu.
 
Kwanza wanamagrupu wengi ni hawana akili za kutosha .kazi yao kuchart na kukosoa wachezaji na kusifia tu.hawawezi mfanya chochote karia.alafu kwann haji anaona kama mpira wa nchi hii bila yeye hauwezi kuenda?

Wakati kazaliwa watu wanacheza mpira?? Anajikuta nani katika nchi hiii? Anadhani kila mtu anafurahi kwa anayoyafanya?

Kwani yeye ndio anadhamini ligi.?? Kwani hamasa anazotoa zinawafikia watu wote.? Mbona alihamasisha mechi ya burundi watu hawakwenda .ifike sehemu watu waambiwe ukweli hadharan kusiwe na double standard.

Hata wachambuzi wengi wa mchongo hawapendi anachofanya Haji lakin wanaogopa kumwambia direct wanaona itakuwa ugomvi baina yao.

Ambae anamchana ukweli ni Jemedari Saidi peke yake, wengine wote wanaongea kijinga jinga tu.
 
Mimi mwana Yanga ila huu ujinga wa Manara na Hersi siikubali, ni muhimu mchezo wetu wa mpira uendeshwe kwa kanuni na kuheshimiana. Hakuna kitu watamfanya Karia. Wajinga tu wenye akili punguani watadharau mamlaka ya TFF. Wamuulize Blatter kilichomtokea. Hakuna mkubwa mbele ya TFF.
 
! Hizo chats zimetengenezwa ! Haihitaji degree wala kindergarten kung'amua hili
 
Karia atawaliza wao na huyo manara ataendelea kuchunga ng'ombe Manyara
 
Ujinga tu, kwani Manara asingeletwa hapo TFF wangewaita Kamati ya maadili?
Mimi mshabiki wa Yanga na nlikerwa na Uongozi wa Yanga kumleta mtu anaetumikia adhabu hata kama baadhi wanasema hana nakala ya hukumu...
Uko sahihi mkuu. Lakini pia kutokuwa na nakala ya hukumu haimaanishi usitumikie adhabu bali nakala ya hukumu inakufanya tu ujue mwenendo wa shauri husika na namna ya kukata rufaa.

Mtu akihukumiwa kifungo anapelekwa jela kuanza kutumikia kifungo chake huku akisubiri nakala ya hukumu huko huko gerezani.

Hakuna excuse ya kufanya kosa ukiwa kifungoni kisa tu hujapata nakala ya hukumu.
 
! Hizo chats zimetengenezwa ! Haihitaji degree wala kindergarten kung'amua hili
KWAMBA HUAMINI BUGGATI PWAGU KAKUTANA NA HERSI PWAGUZI NA WAMEKUWA PWAGU NA PWAGUZI HUKO UTOPOLONI?
whatsaaaaaaa.JPG
 
Ungeweza pia kuliita "Whatsapp Group la wajinga"
 
Ungeweza pia kuliita "Whatsapp Group la wajinga"
To be honest siku wanafanya uchaguzi nikajua Hersi na arafat itakuwa combination ya vijana wasomi wenye uelewa mkubwa kumbee uuuuuwiiii aiseee sura zao zinadanganya sana, ni mapoyoyo ambao nafikiri hata degree zao itakuwa waliiba mitihani na kudesa thesis
 
Kama hii ni kweli basi Haji Manara atakuwa amethibitisha ile kauli yake kuwa kuwa huko Yanga wenye akili timamu ni Sunday Manara na Mzee JK tu waliobakia wote ni hamnazo. Haji Manara ameweza kuiingiza Yanga kwenye ujinga wake na wote kama mazuzu wamekuwa upande wake licha ya upumbavu wake anaondelea kuufanya yeye mwenyewe.
 
Aliyemkaribisha kirusi Jangwani ndiyo inatakiwa alaumiwe, Msomali anamapungufu yake ila Manara ni mpuuze na mjinga anayeropoka ropoka tu.......Yanga inachafuliwa Kwa ujinga wa watu wachache
 
Kama hii ni kweli basi Haji Manara atakuwa amethibitisha ile kauli yake kuwa kuwa huko Yanga wenye akili timamu ni Sunday Manara na Mzee JK tu waliobakia wote ni hamnazo. Haji Manara ameweza kuiingiza Yanga kwenye ujinga wake na wote kama mazuzu wamekuwa upande wake licha ya upumbavu wake anaondelea kuufanya yeye mwenyewe.
Soma hapo chini
IMG-20220725-WA0006.jpg
 
Ujinga tu, kwani Manara asingeletwa hapo TFF wangewaita Kamati ya maadili?

Mimi mshabiki wa Yanga na nlikerwa na Uongozi wa Yanga kumleta mtu anaetumikia adhabu hata kama baadhi wanasema hana nakala ya hukumu.

Ni ujinga tunauendekeza na kila mwana Yanga asiwe mjinga kushabikia upuuzi.

Uongozi ndo wanalea haya matatizo madogo madogo, badala ya kujiandaa uwanjani na wiki hii ratiba ya kimataifa itatoka, sisi tupo bize na ujinga wa Manara.

Ifike mahala tukubali madhaifu yetu na kuyarekebisha. Kwenye hili la Manara mimi sio mashabiki 'oya oya' , bakini na hao wasap makao makuu.
Wewe ni miongoni mwa wenye akili mwana yanga maana huko wengi hawana akili
Mashabiki maandazi
 
Back
Top Bottom