njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Uko sahihi mkuu. Lakini pia kutokuwa na nakala ya hukumu haimaanishi usitumikie adhabu bali nakala ya hukumu inakufanya tu ujue mwenendo wa shauri husika na namna ya kukata rufaa.Ujinga tu, kwani Manara asingeletwa hapo TFF wangewaita Kamati ya maadili?
Mimi mshabiki wa Yanga na nlikerwa na Uongozi wa Yanga kumleta mtu anaetumikia adhabu hata kama baadhi wanasema hana nakala ya hukumu...
KWAMBA HUAMINI BUGGATI PWAGU KAKUTANA NA HERSI PWAGUZI NA WAMEKUWA PWAGU NA PWAGUZI HUKO UTOPOLONI?! Hizo chats zimetengenezwa ! Haihitaji degree wala kindergarten kung'amua hili
Afadhali umejipambanua hata kama utapingwa na hawatakuelewa mashabiki Oya Oya.Ujinga tu, kwani Manara asingeletwa hapo TFF wangewaita Kamati ya maadili?
Mimi mshabiki wa Yanga ...
To be honest siku wanafanya uchaguzi nikajua Hersi na arafat itakuwa combination ya vijana wasomi wenye uelewa mkubwa kumbee uuuuuwiiii aiseee sura zao zinadanganya sana, ni mapoyoyo ambao nafikiri hata degree zao itakuwa waliiba mitihani na kudesa thesisUngeweza pia kuliita "Whatsapp Group la wajinga"
Soma hapo chiniKama hii ni kweli basi Haji Manara atakuwa amethibitisha ile kauli yake kuwa kuwa huko Yanga wenye akili timamu ni Sunday Manara na Mzee JK tu waliobakia wote ni hamnazo. Haji Manara ameweza kuiingiza Yanga kwenye ujinga wake na wote kama mazuzu wamekuwa upande wake licha ya upumbavu wake anaondelea kuufanya yeye mwenyewe.
Wewe ni miongoni mwa wenye akili mwana yanga maana huko wengi hawana akiliUjinga tu, kwani Manara asingeletwa hapo TFF wangewaita Kamati ya maadili?
Mimi mshabiki wa Yanga na nlikerwa na Uongozi wa Yanga kumleta mtu anaetumikia adhabu hata kama baadhi wanasema hana nakala ya hukumu.
Ni ujinga tunauendekeza na kila mwana Yanga asiwe mjinga kushabikia upuuzi.
Uongozi ndo wanalea haya matatizo madogo madogo, badala ya kujiandaa uwanjani na wiki hii ratiba ya kimataifa itatoka, sisi tupo bize na ujinga wa Manara.
Ifike mahala tukubali madhaifu yetu na kuyarekebisha. Kwenye hili la Manara mimi sio mashabiki 'oya oya' , bakini na hao wasap makao makuu.