J Jibaba Bonge JF-Expert Member Joined May 6, 2008 Posts 1,246 Reaction score 402 Feb 12, 2016 #1 Kwenye tangazo la kampuni moja ya Simu, mdada anamlalamikia EX wake kwanini amefungua whatsapp group akali-name 'Ma-EX wangu' Hili ni tangazo tu lakini just imagine posts za humo kwenye group zitakuwaje?
Kwenye tangazo la kampuni moja ya Simu, mdada anamlalamikia EX wake kwanini amefungua whatsapp group akali-name 'Ma-EX wangu' Hili ni tangazo tu lakini just imagine posts za humo kwenye group zitakuwaje?
rubii JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 14,032 Reaction score 18,540 Feb 12, 2016 #2 Post zitakua matusi na rubii left
SPECIAL TMN JF-Expert Member Joined Jan 3, 2014 Posts 1,111 Reaction score 807 Feb 12, 2016 #3 Harufu za matusi zitanukia anytime,
Mr Hero JF-Expert Member Joined Jun 11, 2015 Posts 5,540 Reaction score 7,455 Feb 12, 2016 #4 Kuna viumbe wanaweza kujaza group zima la x tupu,
Chimps JF-Expert Member Joined Nov 8, 2011 Posts 559 Reaction score 356 Feb 12, 2016 #5 Kweli hili ni tangazo, lakini inaweza kutokea katika maisha ya kawaida
Somoche JF-Expert Member Joined Oct 6, 2010 Posts 6,795 Reaction score 9,143 Mar 29, 2016 #6 Yule dada ana kasauti flani anavyomuita huyu chedi