WhatsApp Groups: Umewahi kushare picha isiyofaa kwa bahati mbaya? Ulifanyaje?

kuna siku bana maza mmoja mzee wa kanisa alitupia pilau kwa bahati mbaya kwenye group la jumuia ikawa mtihani kumshtua maana yeye mwenyewe alikuwa hana habari badae akazuga eti cm yake iliibwa[emoji3]
 
Kipindi nikiwa chuo nakumbuka kuna jamaa moja ni faza faza (alikuwa kaoa na ana watoto) tulikuwa tusoma nae, sasa yule faza sijui alikuwa anachart na mke wake si akasahau akatuma picha ya ukuni kwenye group la class na caption "babe limekumiss hili" basi ikawa ndo kauli mbiu darasani.
 
kuna siku bana maza mmoja mzee wa kanisa alitupia pilau kwa bahati mbaya kwenye group la jumuia ikawa mtihani kumshtua maana yeye mwenyewe alikuwa hana habari badae akazuga eti cm yake iliibwa[emoji3]
Mchaichai na mdalalisi imekolea vizuri
 
Wanangu wawili iliwatokea hii

Wa kwanza aliweka mkuyati wake kwenye magroup ya kazi na michezo mbaya zaidi alishindwa kukanusha maana hadi mikono yake Kuna namna ilionekana

Wa pili, kajipiga Gillette anaenda kumchinja manzi wake Moro😁kufika road akalaza siti kampiga picha abdala kichwa wazi badala ya kumtumia demu akaweka status
 
Kuna baba alinisimulia hii..... sijui yupo humu...!!?

Kama yupo humu akipita hapa akisoma akaushe tuu 😜😜.

Alisema kwenye group la familia yao la whatsapp wako wao na wazazi wao, sasa kuna binamu yake usiku kama saa sita hivi akakosea akatuma kwenye group la familia kachumbari ya dakika 20 watu wanakulana. Akapaniki kwenye kuifuta akafuta upande wake tuu badala ya kuchagua delete to all...!!!

Akazidi kupaniki na kuwashirikisha binamu wenzie wakiume, kuwa wamsaidie wafanyaje maana mama zao na baba zao wakiona itakuwa aibu. Wakajadiliana pembeni mmoja akaja na wazo wahakikishe wanatuma jumbe za kutosha kwenye group la familia hadi asubuhi kuwe na notification elfu moja hivi ili ile kachumbari iwe mbali mtu akitaka kusoma jumbe zote aone uvivu aache.

Mbinu hiyo waliifanyia kazi na iliwezekana, asubuhi shangazi yao mmoja anauliza...... humu ndani kwenye group mmefanya nini mbona jumbe nyingi sana...!!!

Mabinamu wakawa wanatuma emoji tuu za tabasamu....

Nimewakilisha.
 
Siku hizi admins wa group wamepewa uwezo wa kufuta post kwenye WhatsApp. Zamani ilikuwa hakuna hiyo option mtu akikosea mpaka afute yeye mwenyewe.
 
kuna siku bana maza mmoja mzee wa kanisa alitupia pilau kwa bahati mbaya kwenye group la jumuia ikawa mtihani kumshtua maana yeye mwenyewe alikuwa hana habari badae akazuga eti cm yake iliibwa[emoji3]
Hii sio maza wa kanisa la an....n kweli? G. Moro? Maana zimefanan sana skendo hizi
 
Wanangu wawili iliwatokea hii

Wa kwanza aliweka mkuyati wake kwenye magroup ya kazi na michezo mbaya zaidi alishindwa kukanusha maana hadi mikono yake Kuna namna ilionekana

Wa pili, kajipiga Gillette anaenda kumchinja manzi wake Moro[emoji16]kufika road akalaza siti kampiga picha abdala kichwa wazi badala ya kumtumia demu akaweka status
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom