WhatsApp haipatikani ukimpigia simu lakini text zinakubali

WhatsApp haipatikani ukimpigia simu lakini text zinakubali

cold water

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2021
Posts
238
Reaction score
954
Inakuaje mtu No yake ya WhatsApp, normal call haipatikani lakini ukimtumia text whasap zinaonesha tick 2 kuna mtu anatumia wasap yake au.
 
Inawezekana kabisa,,anaweza kutoa line akaweka line nyingine akaendelea ktumia wasap kwa namba hyo unayosema inatumika wasap.
 
Inakuaje mtu No yake ya wasap ,normal call haipatikani lakini ukimtumia text whasap zinaonesha tick 2 kuna mtu anatumia wasap yake au.
Anaweza kuwa sehemu ambapo mtandao wa simu haupatikani lakini kuna chanzo kingine cha internet anatumia kupitia WiFi. Mfano ukiwa nje ya nchi au kokote ambapo mtandao wako haupo

Pia unaweza kuwa na WhatsApp kwenye kifaa kingine tofauti na ile simu yenye hiyo namba ya WhatsApp, sasa ikitokea ile simu yenye namba yako ikaisha betri WhatsApp itaendelea kufanya kazi sababu iko kwenye kifaa tofauti kama tablet au computer
 
Inakuaje mtu No yake ya WhatsApp, normal call haipatikani lakini ukimtumia text whasap zinaonesha tick 2 kuna mtu anatumia wasap yake au.
ni uamuzi binafsi tu wa mtu kuamua kufanya hivyo..

vipi umepigwa tukio?
 
Back
Top Bottom