Daah kuna baadhi niliwaona watunza siri sana ila kuvurugwa kidogo ninafaidi kujua siri za familia kupitia status,migogoro ya mirathi,urithi,talaka,kufumania,wengine wanaringishia hadi matokeo ya watoto wao wa nursery. Mtoto kaumwa nyuki au jipu picha hio na status ya maelezo. Huyu kajifungua masaa mawili yaliyopita picha hio na maelezo juu acha tugeuke shilawadu
Hapo ni kwenye status tu,ndani ya magrup tafran tele
Ten ile mpya iliboa maan ukiangalia umbea wa mtu mwenywe anapata taarifa looh nikaaacha kuangalia ila ss hiv mambo yote yapo mubashara kabisa
ukweli wangu kabisa mm dp za watu yaan hapo ndio napapenda [emoji23]Naomba uwe mkweli shunie..wakati mwingine mzuri
Asikudanganye huyo anachungulisga sana.wew utaangaliaje pic ya mtu ushindwekuangalia alichoandika.umbea muhimu bhna aaa
Yaani mie nikinunua tu bando cha kwanz ni kupitia status zote nikimaliza status nakuja kuangalia dp sas loo umbea huu jamn[emoji23][emoji23]umeonaee..sasa hvi kitu live
Mi mwenyewe niliumbuka aise..
Ila huu umbea jamn wa mitandaon ni shida.mwanzo na mimi nilikuwa kama wew aise
Yaani mie nikinunua tu bando cha kwanz ni kupitia status zote nikimaliza status nakuja kuangalia dp sas loo umbea huu jamn
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na kweli umbea mtamu,. Ila ili usionekane umeview zile status za video nenda kwenye settings kisha account then privacy tafuta read receipts ondoa ile tiki utakua huru kuchungulia bila kuonwa na mhusika
Yaani mie nikinunua tu bando cha kwanz ni kupitia status zote nikimaliza status nakuja kuangalia dp sas loo umbea huu jamn
Hii nimeinyaka naichukua haki tena.ehee nikiondoa hiko kitiki chao sijui nitaweza kuangalia nani kaniangalia si ndio!!au ndo ile ukitoa kitiki na wew huon watu walikuangalia!!nitaumwa jmn kama sitawaona watu.
Umbea hauwezi isha haki tena
Loooh umeniacha nichek kwa sauti loohMi huwa naanzaga na wale watu muhimu kabisa ambao najua maisha yao wanalala,wanapika,wanaosha vyombo,wanafulia,wanaoga na kuvaa whatsapp patamu hapo.
Nikamliza sasa ndo naanza kujibu txt za wato..
Kwa hali hii ushilawadu hauwezi kwisha loh
Nimetoka mtupu.
anamaanisha ile sehemu ya kuandika status imerejeshwahapa nimetoka na DAB
[emoji22][emoji22][emoji22]ngoja niifanyie kazi nikiona inaniletea mizengwe tupa kule