Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,773
- 51,429
- Thread starter
- #21
Daah kuna baadhi niliwaona watunza siri sana ila kuvurugwa kidogo ninafaidi kujua siri za familia kupitia status,migogoro ya mirathi,urithi,talaka,kufumania,wengine wanaringishia hadi matokeo ya watoto wao wa nursery. Mtoto kaumwa nyuki au jipu picha hio na status ya maelezo. Huyu kajifungua masaa mawili yaliyopita picha hio na maelezo juu acha tugeuke shilawadu
Hapo ni kwenye status tu,ndani ya magrup tafran tele
[emoji23][emoji23]umenichekesha sana aise!!eti matokeo ya watoto wao wa nursery..
Naona kuzuia hisia imekuwa msamiati wa kichina