Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,030
- 20,391
- Thread starter
- #21
Asilimia kubwa ya wabongo kuupdate mpaka program husika imlazimishe.Ila hiyo ili ifanye kazi, lazima yule unayechat naye pia awe ame update WhatsApp. Shida kubwa ni kwamba watanzania wengi hatuna utaratibu wa ku update apps, wengine hata hawajui ku update ndo nini.