Kasomi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 11,030 Reaction score 20,391 Dec 17, 2021 Thread starter #21 Evangelist Oscar Maulid said: Ila hiyo ili ifanye kazi, lazima yule unayechat naye pia awe ame update WhatsApp. Shida kubwa ni kwamba watanzania wengi hatuna utaratibu wa ku update apps, wengine hata hawajui ku update ndo nini. Click to expand... Asilimia kubwa ya wabongo kuupdate mpaka program husika imlazimishe.
Evangelist Oscar Maulid said: Ila hiyo ili ifanye kazi, lazima yule unayechat naye pia awe ame update WhatsApp. Shida kubwa ni kwamba watanzania wengi hatuna utaratibu wa ku update apps, wengine hata hawajui ku update ndo nini. Click to expand... Asilimia kubwa ya wabongo kuupdate mpaka program husika imlazimishe.
Mwambwaro JF-Expert Member Joined Jan 26, 2018 Posts 3,309 Reaction score 3,522 Dec 17, 2021 #22 Hiii itasaidia kulinda ndoa za watu ukichati na michepuko yako unaseti kuwa message zipotee baada ya masaa au siku moja
Hiii itasaidia kulinda ndoa za watu ukichati na michepuko yako unaseti kuwa message zipotee baada ya masaa au siku moja
Kasomi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 11,030 Reaction score 20,391 Dec 17, 2021 Thread starter #23 Mwambwaro said: Hiii itasaidia kulinda ndoa za watu ukichati na michepuko yako unaseti kuwa message zipotee baada ya masaa au siku moja Click to expand... 🤣🤣🤣Dah Kumbe hii inawarahisishia wenye michepuko.
Mwambwaro said: Hiii itasaidia kulinda ndoa za watu ukichati na michepuko yako unaseti kuwa message zipotee baada ya masaa au siku moja Click to expand... 🤣🤣🤣Dah Kumbe hii inawarahisishia wenye michepuko.
Daktari wa Manchester JF-Expert Member Joined Jun 1, 2020 Posts 350 Reaction score 403 Dec 18, 2021 #24 Kasomi said: Asilimia kubwa ya wabongo kuupdate mpaka program husika imlazimishe. Click to expand... KuNA JaAa yangu hapa hata hajui kuupdate sim ni nini
Kasomi said: Asilimia kubwa ya wabongo kuupdate mpaka program husika imlazimishe. Click to expand... KuNA JaAa yangu hapa hata hajui kuupdate sim ni nini
Kasomi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 11,030 Reaction score 20,391 Dec 18, 2021 Thread starter #25 Daktari wa Manchester said: KuNA JaAa yangu hapa hata hajui kuupdate sim ni nini Click to expand... Muelekeze na utoe walau faida za kuupdate hapo utakuwa umemufungua.
Daktari wa Manchester said: KuNA JaAa yangu hapa hata hajui kuupdate sim ni nini Click to expand... Muelekeze na utoe walau faida za kuupdate hapo utakuwa umemufungua.