WhatsApp itaacha kufanya kazi kwenye simu zifuatazo ifikapo Mwezi Mei 2025

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,386
Reaction score
2,833
Ifikapo Mwezi Mei 2025, Whatsapp itaweza kuacha kufanya kazi Kwenye baadhi ya Simu za Android na iphone.

Whatsapp ambayo ni mtandao wenye watumiaji zaidi ya bilioni mbili kwa Mwezi ikiwemo Tanzania, kampuni Mama ya Meta ambayo inamiliki mtandao wa Whatsapp itaweza kuzuia baadhi ya sinu zenye matoleo ya Zamani kushindwa kutumia mtandao wa Whatsapp.

Kwa watumiaji wa Iphone watakaoweza kuathirika ni wale wanaotumia iphone za mwaka 2013 na 2014 matoleo kuanzia iphone 5s, iphone 6s na iphone 6 plus.

Wakati kwa watumiaji wa android ni wale wanaoyumia toleo la lollipop la version 5.0 au chini yake ambapo simu zitakazo athirika ni kama ifuatavyo;

Samsung Galaxy S3, Galaxy note 2, Galaxy Ace 3, Galaxy S4 Mini, Motorola’s Moto G (1st Gen), Razr HD, Moto E 2014; HTC’s One X, One X+, Desire 500, Desire 601, LG’s Optimus G, Nexus 4, G2 Mini, L90; and Sony’s Xperia Z, Xperia SP, Xperia T, Xperia V.

Mabadiliko haya yamekuja ili kuongeza ufanisi kwa watu kuweza kujilinda na matoleo mapya ya update ya usalama Mitandao na kuzuia kudukuliwa taarifa zao kirahisi kutokana na usalama mdogo wa matoleo ya Zamani ya Simu za Android na iphone.
 
🔍 Kwa watumiaji wa Iphone watakaoweza kuathirika ni wale wanaotumia iphone za mwaka 2013 na 2014 matoleo kuanzia iphone 5s, iphone 6s na iphone 6 plus.

Wakati kwa watumiaji wa android ni wale wanaoyumia toleo la lollipop la version 5.0 au chini yake ambapo simu zitakazo athirika ni kama ifuatavyo;

💎 Samsung Galaxy S3, Galaxy note 2, Galaxy Ace 3, Galaxy S4 Mini, Motorola’s Moto G (1st Gen), Razr HD, Moto E 2014; HTC’s One X, One X+, Desire 500, Desire 601, LG’s Optimus G, Nexus 4, G2 Mini, L90; and Sony’s Xperia Z, Xperia SP, Xperia T, Xperia V.

Mabadiliko haya yamekuja ili kuongeza ufanisi kwa watu kuweza kujilinda na matoleo mapya ya update ya usalama Mitandao na kuzuia kudukuliwa taarifa zao kirahisi kutokana na usalama mdogo wa matoleo ya Zamani ya Simu za Android na iphone.
Nasubiria povu hapa 🤣🤣
 
Hapo ni kutumia Unofficial Rom tu unaendelea kutamba kama kawaida.
 
lakini iwapo tu mkataba wa manunuzi ulitaja ulazima wa whatsapp kufanya kazi humo
Niliponunua sim nlipewa huduma ambazo ni compatible kwenye hio device, sasa iweje leo ghafla waje waitoe
 
Haukupewa, uliinstall mwenyewe. App zinazokuja na simu ni kama saa, tochi, camera, calendar na recorder. Whatsapp ni sawa na Uber au Bolt tu, uliinstall mwenyewe
 
Ifikapo Mwezi Mei 2025, Whatsapp itaweza kuacha kufanya kazi Kwenye baadhi ya Simu za Android na iphone.

Whatsapp ambayo ni mtandao wenye watumiaji zaidi ya bilioni mbili kwa Mwezi ikiwemo Tanzania, kampuni Mama ya Meta ambayo inamiliki mtandao wa Whatsapp itaweza kuzuia baadhi ya sinu zenye matoleo ya Zamani kushindwa kutumia mtandao wa Whatsapp.

Kwa watumiaji wa Iphone watakaoweza kuathirika ni wale wanaotumia iphone za mwaka 2013 na 2014 matoleo kuanzia iphone 5s, iphone 6s na iphone 6 plus.

Wakati kwa watumiaji wa android ni wale wanaoyumia toleo la lollipop la version 5.0 au chini yake ambapo simu zitakazo athirika ni kama ifuatavyo;

Samsung Galaxy S3, Galaxy note 2, Galaxy Ace 3, Galaxy S4 Mini, Motorola’s Moto G (1st Gen), Razr HD, Moto E 2014; HTC’s One X, One X+, Desire 500, Desire 601, LG’s Optimus G, Nexus 4, G2 Mini, L90; and Sony’s Xperia Z, Xperia SP, Xperia T, Xperia V.

Mabadiliko haya yamekuja ili kuongeza ufanisi kwa watu kuweza kujilinda na matoleo mapya ya update ya usalama Mitandao na kuzuia kudukuliwa taarifa zao kirahisi kutokana na usalama mdogo wa matoleo ya Zamani ya Simu za Android na iphone.
Kwa kifupi ni kuwa watengeneza simu wameingia ubia na meta baada ya kuona kuna baadhi ya wateja hawataki kubadilisha simu ili soko lao likue zaidi. Hili suala limekuja baada ya timu ya mauzo kufanya tafiti mitaani na kukuta utunzaji mkubwa wa simu mpaka nyingine zimezeeka na kufungwa na rubber band na nyingine screen zimepasuka lakini bado watumiaji wanakomaa nazo hivyo hivyo.
 
Haukupewa, uliinstall mwenyewe. App zinazokuja na simu ni kama saa, tochi, camera, calendar na recorder. Whatsapp ni sawa na Uber au Bolt tu, uliinstall mwenyewe
Ukisoma kwenye phone compatibility inakuonesha kwamba sim hii inauwezo wakuistall vitu gan nagan
 
Ifikapo Mwezi Mei 2025, Whatsapp itaweza kuacha kufanya kazi Kwenye baadhi ya Simu za Android na iphone.

Whatsapp ambayo ni mtandao wenye watumiaji zaidi ya bilioni mbili kwa Mwezi ikiwemo Tanzania, kampuni Mama ya Meta ambayo inamiliki mtandao wa Whatsapp itaweza kuzuia baadhi ya sinu zenye matoleo ya Zamani kushindwa kutumia mtandao wa Whatsapp.

Kwa watumiaji wa Iphone watakaoweza kuathirika ni wale wanaotumia iphone za mwaka 2013 na 2014 matoleo kuanzia iphone 5s, iphone 6s na iphone 6 plus.

Wakati kwa watumiaji wa android ni wale wanaoyumia toleo la lollipop la version 5.0 au chini yake ambapo simu zitakazo athirika ni kama ifuatavyo;

Samsung Galaxy S3, Galaxy note 2, Galaxy Ace 3, Galaxy S4 Mini, Motorola’s Moto G (1st Gen), Razr HD, Moto E 2014; HTC’s One X, One X+, Desire 500, Desire 601, LG’s Optimus G, Nexus 4, G2 Mini, L90; and Sony’s Xperia Z, Xperia SP, Xperia T, Xperia V.

Mabadiliko haya yamekuja ili kuongeza ufanisi kwa watu kuweza kujilinda na matoleo mapya ya update ya usalama Mitandao na kuzuia kudukuliwa taarifa zao kirahisi kutokana na usalama mdogo wa matoleo ya Zamani ya Simu za Android na iphone.
Na Iphone 6.
 
Duuh wenye hizo simu wazitupe mbali
 
Back
Top Bottom