Tetesi: ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐—ธ๐˜‚๐—ท๐—ฎ ๐˜‚๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ถ๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ๐˜‚๐—ป๐˜๐—ถ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ ๐—ฏ๐—ถ๐—น๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚

Tetesi: ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐—ธ๐˜‚๐—ท๐—ฎ ๐˜‚๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ถ๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ๐˜‚๐—ป๐˜๐—ถ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ ๐—ฏ๐—ถ๐—น๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
620
Reaction score
1,240
View attachment 2822683

Kuna Tetesi inasemekana Whatsapp wako kwenye majaribio ya kuweza kuleta feature yenye uwezo wa kuingia kwenye Whatsapp akaunti yako bila kutumia namba ya simu.

Feature hii itaanza kupatikana kwa watumiaji wa iphone ambapo watakua na uwezo wa kuweza kuingia kwenye akaunti zao za Whatsapp bila kutumia namba ya simu uliyosajilia isipokuwa unatumia email kuingia.

Kupitia email itakupa wa kuingia kwenye Whatsapp ikiwa umeibiwa simu na kupoteza namba yako ya simu utatumiwa Verification code kupitia email na kuweza kuingia kwenye akaunti yako.

Pia ikiwa umeweka namba yako ya simu na ujapokea verification code yoyote basi utaweza Kutumia email kupata code na kuingia kwenye akaunti yako ya Whatsapp bila kupoteza akaunti.

images%20(6).jpg


Lakini Bado namba ya simu itaendelea kuwepo na email utakayotumia kuingia kwenye akaunti yako itakua hidden hivyo watu hawataweza kuiona kwa usalama wa taarifa zako.

Feature itaanza kupatikana kwa watumiaji wa Whatsapp kuanzia version 23.24.70 kwa kuweza kuingia setting kwenye WhatsApp>>Account>> utaweza kuona Sehemu ya kuweka email ya dharura kwenye akaunti yako.
 
Back
Top Bottom