[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kimeo changu cha tangu mwaka 2016 nilipokitoa dukani, kwa sasa hakisupport Twitter na sitarajii kununua kingine kwa siku za karibuni.
WhatsApp waendelee na ujinga nao hawawezi kunikwamisha
Kwenye sherehe za Ballon D'or juzi kati kule Ufaransa, Didier Drogba alionekana akipiga selfie na Simu yake iPhone 6, akazua gumzo watu wakawa wanamshangaa kulingana na hadhi yake na utajiri wake pia.
Ila vitu vingine vinaelezeka jamani, yaan mtu bado anatumia android 2.3 hadi sasa kweli??Tutadownload Telegram wabakie na WhatsApp yao
Wanalazimisha watu wanunue matoleo mapya
Kuna wajanja watakuja na mbadala
Owner wa Facebook Insta WhatsApp amekuwa na tamaa mbaya kha
Dawa kuweka Custom Rom then Libeneke linaendelea kama kawaidaTutadownload Telegram wabakie na WhatsApp yao
Wanalazimisha watu wanunue matoleo mapya
Kuna wajanja watakuja na mbadala
Owner wa Facebook Insta WhatsApp amekuwa na tamaa mbaya kha
Kwanini GBWHASAPP isiingizwe google play au appstore ili watu tufaid kwa aman features zake? Au kwnn whasapp mwnyw asi adapt developer wa kiarab maujanja yake?
Toleo la zamani ndio kama ipi?. Vipi Samsung?Ni muda muafaka kwa wale wote wenye matoleo ya zamani ya Smartphones "kujiongeza".
Kuna hii nyingine,wanaitafutia namna ya kuiweka wazi. Wanaume kukatwa pumbu moja ili uishi miaka kuanzia 80 kwenda juuYAANI DUNIA YA SASA KUVURUGANA TU
MARA KUKAMILISHA USAJILI WA LINE KWA VIDOLE
MARA LIKES NA VIEWS INSTAGRAM KUFUTWA
MARA WHATSAPP KUFUTWA KWA BAADHI YA WATUMIAJI
MARA MBOWE KAOMBA MARIDHIANO
duuh haya bwana ..yangu macho