WhatsApp kusitisha huduma kwa mamilioni ya simu (Smartphones)

WhatsApp kusitisha huduma kwa mamilioni ya simu (Smartphones)

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye sherehe za Ballon D'or juzi kati kule Ufaransa, Didier Drogba alionekana akipiga selfie na Simu yake iPhone 6, akazua gumzo watu wakawa wanamshangaa kulingana na hadhi yake na utajiri wake pia.

Cha kufurahisha Drogba aliishia kusema "If you can't afford the latest gadget in the market, you are not a failure!"
 
Tutadownload Telegram wabakie na WhatsApp yao
Wanalazimisha watu wanunue matoleo mapya
Kuna wajanja watakuja na mbadala
Owner wa Facebook Insta WhatsApp amekuwa na tamaa mbaya kha
Ila vitu vingine vinaelezeka jamani, yaan mtu bado anatumia android 2.3 hadi sasa kweli??

Af wanafanya hivo coz hizo old Os zjnakua hazisupport baadhi ya features
 
Tutadownload Telegram wabakie na WhatsApp yao
Wanalazimisha watu wanunue matoleo mapya
Kuna wajanja watakuja na mbadala
Owner wa Facebook Insta WhatsApp amekuwa na tamaa mbaya kha
Dawa kuweka Custom Rom then Libeneke linaendelea kama kawaida
 
Kwanini GBWHASAPP isiingizwe google play au appstore ili watu tufaid kwa aman features zake? Au kwnn whasapp mwnyw asi adapt developer wa kiarab maujanja yake?
 
YAANI DUNIA YA SASA KUVURUGANA TU

MARA KUKAMILISHA USAJILI WA LINE KWA VIDOLE

MARA LIKES NA VIEWS INSTAGRAM KUFUTWA

MARA WHATSAPP KUFUTWA KWA BAADHI YA WATUMIAJI

MARA MBOWE KAOMBA MARIDHIANO

duuh haya bwana ..yangu macho
Kuna hii nyingine,wanaitafutia namna ya kuiweka wazi. Wanaume kukatwa pumbu moja ili uishi miaka kuanzia 80 kwenda juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom