WhatsApp status ndio chanzo cha kutambiana siku hizi

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Hii WhatsApp status kiukweli inafatiliwa sana watumiaji wa simu janja swala lolote.

Jana naona Ex wangu ananitambia kapata mume wakati alisha ni block na kila mda ananirushia vijembe.

Ukipost status upo sehemu basi kila mda watu wanaona upo vizuri.

Maisha haya
 
We unatamba na nini mkuu huko "statasi"?
 
Sidhani ni wewe unavyoona hivo labda kutokana na roho yako mtu akipost pilau kuku mm sina habari nipo zangu na ugali wangu na chumvi pembeni maji sadolini wala hamna tatzo tusiwe na vijicho!
 
Futa namba yake uepuke kuona status zake...[emoji3577][emoji3577][emoji3577]
 
sasa kaku block hizo status unazionaje....suluhisho ni whatsapp gb.
 
Niliset status nikachagua mtu mmoja ndio aweanaona. Nilimnyoosha hadi siku akaniambia "hivi unadhani huwa siumii, ukipost niondoe basi mimi nisiwe naona" nikamwambia niblock.
Angejua nilikuwa nampostia yeye tu[emoji23][emoji23]
 
Kwani ni lazima uangalie? Kiherehere chako ndo kinakuponza..
 
Niliset status nikachagua mtu mmoja ndio aweanaona. Nilimnyoosha hadi siku akaniambia "hivi unadhani huwa siumii, ukipost niondoe basi mimi nisiwe naona" nikamwambia niblock.
Angejua nilikuwa nampostia yeye tu[emoji23][emoji23]
Una gubu inaonekana yaani unakera kama Fiston Mayele
 
Niliset status nikachagua mtu mmoja ndio aweanaona. Nilimnyoosha hadi siku akaniambia "hivi unadhani huwa siumii, ukipost niondoe basi mimi nisiwe naona" nikamwambia niblock.
Angejua nilikuwa nampostia yeye tu[emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi haya mambo mbona mimi siyawezi jamani!! Napenda tu kupost vichekesho na picha mara mojamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…