WhatsApp status ndio chanzo cha kutambiana siku hizi

WhatsApp status ndio chanzo cha kutambiana siku hizi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi haya mambo mbona mimi siyawezi jamani!! Napenda tu kupost vichekesho na picha mara mojamoja.
Utaweza tu siku.
Yaani kuna mtu utaona kama anakuchukulia poa utamwambia sasa ngoja nikuoneshe.
Unamfanyia showoff mpaka aombe poh
 
Utaweza tu siku.
Yaani kuna mtu utaona kama anakuchukulia poa utamwambia sasa ngoja nikuoneshe.
Unamfanyia showoff mpaka aombe poh
[emoji1787][emoji1787]
 
Hii WhatsApp status kiukweli inafatiliwa sana watumiaji wa simu janja swala lolote.

Jana naona Ex wangu ananitambia kapata mume wakati alisha ni block na kila mda ananirushia vijembe.

Ukipost status upo sehemu basi kila mda watu wanaona upo vizuri.

Maisha haya
[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]balaa kabisaa yaani wasap hukoo kumekua uwanja wa taarabu Siku izi!!!
 
Hii WhatsApp status kiukweli inafatiliwa sana watumiaji wa simu janja swala lolote.

Jana naona Ex wangu ananitambia kapata mume wakati alisha ni block na kila mda ananirushia vijembe.

Ukipost status upo sehemu basi kila mda watu wanaona upo vizuri.

Maisha haya

Mimi sijawahi kuangalia wala ku update WhatsApp status. Kuna features sizitumii hata kidogo ikiwepo emoji! Siwaelewi waozitumia hususani wanaume
 
Sasa si umute yaishe yanini kuumia ivyo!!??😂😂
Kuna kiumbe nilikipa kazi ya kuview status zangu mpaka siku moja nikaambiwa acha kupost status ..🤣🤣🤣🤣wallai ile siku nilicheka angejua navyoonaga burudani nikiona jina lake kwa wale viewers..😂😂😂😂
 
Post jeneza afu weka picha yako andika R.I.P [emoji23][emoji23][emoji23]
Afu utaleta mrejesho
Mkuu Kama uliweza kupitisha kichwa basi mwili utelezeshe tu
 
Statusi ni uwanja mzuri wa kuondolea stress
 
Back
Top Bottom