Utaweza tu siku.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi haya mambo mbona mimi siyawezi jamani!! Napenda tu kupost vichekesho na picha mara mojamoja.
[emoji1787][emoji1787]Utaweza tu siku.
Yaani kuna mtu utaona kama anakuchukulia poa utamwambia sasa ngoja nikuoneshe.
Unamfanyia showoff mpaka aombe poh
[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]balaa kabisaa yaani wasap hukoo kumekua uwanja wa taarabu Siku izi!!!Hii WhatsApp status kiukweli inafatiliwa sana watumiaji wa simu janja swala lolote.
Jana naona Ex wangu ananitambia kapata mume wakati alisha ni block na kila mda ananirushia vijembe.
Ukipost status upo sehemu basi kila mda watu wanaona upo vizuri.
Maisha haya
Hii WhatsApp status kiukweli inafatiliwa sana watumiaji wa simu janja swala lolote.
Jana naona Ex wangu ananitambia kapata mume wakati alisha ni block na kila mda ananirushia vijembe.
Ukipost status upo sehemu basi kila mda watu wanaona upo vizuri.
Maisha haya