Umenikumbusha mbali. Ilikuwa around 2013 hivi nilienda Mtwara sasa night moja tukaenda club ilikuwa wamejaa watoto wa chuo kila demu wa chuo kavaa kipensiSio hata mbali wengine tulikuwa chuo kabisa unajipost uko club na kipensi kakangu alikua ananichamba🤣
Umri ulikuwa unaruhusu😁😁 kakaangu alikuwa ananiambia since you were born I’ve never seen ur thighs now u are posting them on ur status, nilimblock😬Umenikumbusha mbali. Ilikuwa around 2013 hivi nilienda Mtwara sasa night moja tukaenda club ilikuwa wamejaa watoto wa chuo kila demu wa chuo kavaa kipensi
Embu weka sawa hpo hesabu 🤣🤣Hii mbona ishazidi 100% 🤣 🤣 🤣
Kupost mapochopocho 60%Embu weka sawa hpo hesabu 🤣🤣
Utafika mbaliii una kitu sanaKupost mapochopocho 60%
My photo when am happy 10%
Memes 10%
Dini 10%
mapenzi 10%
Umesahau kusema na kupost chocolate...Kupost mapochopocho 60%
My photo when am happy 10%
Memes 10%
Dini 10%
mapenzi 10%
Nilidhani hio imeingia kwenye mapochopocho 😂😂😂Umesahau kusema na kupost chocolate...
Chocolate kwako ni exceptional, unapenda chocolate kuliko mapenzi...Nilidhani hio imeingia kwenye mapochopocho 😂😂😂
Bila kusahau na mziki 🎶
Yaani 😍😋🤑🤑🤑Chocolate kwako ni exceptional, unapenda chocolate kuliko mapenzi...
Hahaha ona sasa... Na umekatazwa kuzila mara kwa mara...Yaani 😍😋🤑🤑🤑View attachment 3593737