Whatsapp status za kijanja

Whatsapp status za kijanja

“I don’t care about losing people who don’t wanna be in my life anymore. I’ve lost people who meant the world to me and I’m still doing just fine
my whatsap status nikiwa na hasira
 
Habarini wakuu..
Najua wengi humu ni watumiaji wa whatsapp, kwaio tutajiane whatsapp status unayoitumia sasa au uliyowahi kukutana nayo ukaipenda au ikakufurahisha..yangu ya sasa ni "Ninaipenda furaha lakin haidumu"
karibuni...
Available
 
1.Anayekufaa wakati wa shida mthamini kaa mwamvuli, 2.kumuamini mtu ni sawa na kumpa maisha yako
 
Back
Top Bottom