Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiisee hiyo avatar yako akiiona kigwangla mbna atakushitaki 😂😂😂😂😂We Nyani we yaani basi tu. Yaani nimeangua kicheko bila kupenda. Sijui sometimes huwa unafikiria nini. It must be extremely loud in your mind!![]()
Means?Lushindo loko. .
HahahaLushindo loko. .
Busy ndio maujanja yenyewe na mautamu yote yapo humo ShadeeyaNaonaga ya mtu mmoja ni Busy tu miaka nenda rudi. Sijui itaisha lini. Teh teh.
CC. Sesten Zakazaka. 😎😎😎
Swadakta upo katika njia sahihi kabisaHahahaa. Na kweli Ses.
Wacha na mie nizidi kuiendeleza hiyo busy. 😅😅😅
Taaaratiiibu najua ntakavofanya hadi nikuhamisheHahahaaa. Hakuna jinsi Ses yabidi ukubali tu kwamba hakuhamiki. 💃💃💃💃
😀 😀 😀 Safi sana. I'm waiting. 💃💃💃T
Taaaratiiibu najua ntakvofanya hadi nikuhamishe
Usiache kutoa ushirikiano😀 😀 😀 Safi sana. I'm waiting. 💃💃💃
Mie tena kwako Ses ni kama uji na mgonjwa ujue. 😀Usiache kutoa ushirikiano
Mi hapa bichwa hiloooo😃😃😃Mie tena kwako Ses ni kama uji na mgonjwa ujue. 😀
Ujue nimejikuta nacheka kama saa ile. Haya bana Ses. 😅😅Mi h
Mi hapa bichwa hiloooo😃😃😃
Mkundi wakoMeans?
@Shadeeya nakusalimu na sesy wako.Mie tena kwako Ses ni kama uji na mgonjwa ujue. 😀
Hahahaaa. Mi sijambo. Mzima?@Shadeeya nakusalimu na sesy wako.
Hahaha...unavyotaja na kuiandika sesy bila shaka ushalegea kwa Sesy.
[emoji861][emoji861][emoji861][emoji119]