WhatsApp yangu imejifunga mara mbili. Changamoto itakuwa ni nini?

WhatsApp yangu imejifunga mara mbili. Changamoto itakuwa ni nini?

Pre form one

Member
Joined
Dec 20, 2023
Posts
28
Reaction score
46
Habari ,Poleni na Majukumu ya kila siku! Nina changamoto moja ya whatsup yangu hii mara ya pili imekua ikiwa locked hivi.

Naombeni msaada maana nafahamu humu Kuna wataalamu wengi sana wanaoelewa vizuri haya mambo.Nimeambatanisha picha.

Ahsante.

Screenshot_20250203-155934.png
 
. Hapo umefungiwa maisha, Yawezekana kuna jambo baya umelifanya..

. Ingekuwa premium WhatsApp, chap tu ingefunguliwa

. Jaribu kuwasiliana nao, toa maelezo kwa kina ( aina ya WhatsApp, namba ya WhatsApp uliyounganisha, screenshot ya ujumbe unaoletewa kwenye screen)
👇👇👇
support@whatsapp.com
 
Inawezekana shughuli unazofanya zinakulazimu kuwatumia watu wengi SMS kwa mara moja ambazo zote ujumbe ni mmoja.

Mfano mtu wa marketing au wale wanaodai wanaokopa mtandaoni. Kisha ukawa reported mara nyingi hapa akaunti inazuiwa saa, siku ukiendelea ndiyo maisha.

Ama la ulikua unatumia hizi WhatsApp nyingine mfano GB WhatsApp au FM WhatsApp na nyenzao. So akaunti yako imekua banned maisha.

Jaribu kusajili akaunti nyingine ( tumia namba nyingine) uone kama WhatsApp itafunguka.

Kisha jaribu kusajili WhatsApp kwenye simu nyingine ila tumia namba yako uone kama kwenye simu nyingine itafanya kazi
 
Back
Top Bottom