WhatsApp yangu imejifunga mara mbili. Changamoto itakuwa ni nini?

WhatsApp yangu imejifunga mara mbili. Changamoto itakuwa ni nini?

Inawezekana shughuli unazofanya zinakulazimu kuwatumia watu wengi SMS kwa mara moja ambazo zote ujumbe ni mmoja.

Mfano mtu wa marketing au wale wanaodai wanaokopa mtandaoni. Kisha ukawa reported mara nyingi hapa akaunti inazuiwa saa, siku ukiendelea ndiyo maisha.

Ama la ulikua unatumia hizi WhatsApp nyingine mfano GB WhatsApp au FM WhatsApp na nyenzao. So akaunti yako imekua banned maisha.

Jaribu kusajili akaunti nyingine ( tumia namba nyingine) uone kama WhatsApp itafunguka.

Kisha jaribu kusajili WhatsApp kwenye simu nyingine ila tumia namba yako uone kama kwenye simu nyingine itafanya kazi
Ahsante ni kweli natuma sms same kwa watu wengi huenda ndio tatizo ,lakini nimejaribu kusajili kwenye simu nyingine whatsup imekubali kufunguka .Ahsante
 
Back
Top Bottom