Ng'bolekeni( msaidie mwenzio)Jitahidini mnunue iPhone kama mimi... khaaaa
Ng'bolekeni( msaidie mwenzioJitahidini mnunue iPhone kama mimi... khaaaa
Ahsante ni kweli natuma sms same kwa watu wengi huenda ndio tatizo ,lakini nimejaribu kusajili kwenye simu nyingine whatsup imekubali kufunguka .AhsanteInawezekana shughuli unazofanya zinakulazimu kuwatumia watu wengi SMS kwa mara moja ambazo zote ujumbe ni mmoja.
Mfano mtu wa marketing au wale wanaodai wanaokopa mtandaoni. Kisha ukawa reported mara nyingi hapa akaunti inazuiwa saa, siku ukiendelea ndiyo maisha.
Ama la ulikua unatumia hizi WhatsApp nyingine mfano GB WhatsApp au FM WhatsApp na nyenzao. So akaunti yako imekua banned maisha.
Jaribu kusajili akaunti nyingine ( tumia namba nyingine) uone kama WhatsApp itafunguka.
Kisha jaribu kusajili WhatsApp kwenye simu nyingine ila tumia namba yako uone kama kwenye simu nyingine itafanya kazi
Kuna mmoja kakuripotiAhsante ni kweli natuma sms same kwa watu wengi huenda ndio tatizo ,lakini nimejaribu kusajili kwenye simu nyingine whatsup imekubali kufunguka .Ahsante
Hadi mim aisehMimi hadi nilishasahau kama kuna Whatsapp.
Tokea nianze kutumia kisimu cha OPPO, whatsapp niliitumia wiki mbili tu na ghafla ikaja message kama hiyo.