Dogo mmoja alipakizwa kwenye gari na mama yake akiwa anaelekea mbeya na kumuachia maagizo konda gari ikifika morogoro amjulishe dogo.
Gari lilianza kuondoka na yeye akiwa amelala,
baadaye aliposhtuka akauliza " konda tuko wapi hapa?"
konda akajibu " bado vituo viwili tufike mbeya"
dogo akaanza kulalamika " maamaaa konda umenipitisha morogoro,nirudishe umenipitisha"
Abiria wote wakaanza kumtetea dogo " mrudisheni acheni uonevu,mrudisheni aliposema."
Dereva akageuza gari mpaka morogoro walipofika konda akasema " aya dogo moro ndo hapa."
Dogo akajibu " haya sasa tunaweza kwenda kwasababu mama aliniambia nikifika morogoro nianze kula maandazi yangu."[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]